Lulu aangusha bonge la "birthday party"

Lulu aangusha bonge la "birthday party"

lulu.jpg

Kwa picha hii hata wakisema alimla nyama Kanumba tunaweza kuamini. Ah ah ahaaaaaaaaaaa..........

Mbona sioni vizuri, hivi amevaa nini hapo?
 
Hata birthday ya mtu nayo tena inakuwa noma???????

Chezea waswahili wewee....!!! Wanataka Lulu akae tu ndani aoneshe huzuni..... Wazimu mtupu! Wacheni ale Raha

ina maana lulu hatakiwi kufurahi kwa ss?...na hayo magazeti hayo,hee
Mangaline, chilubi na mimisa mngekuwa na akili ya kuchambua mambo ndipo muandike kitu mngelifaa zaidi julwaa hili. Suala hapa si kufurahi wala kufanya sherehe ya kuzaliwa bali ni kitendawili anachokirudisha kwenye "chorus" ya umri. Suala la kifo cha Kanumba limaigusa sana jamii hii na anayejua siri yote juu ya kifo hicho ni Lulu. Smoke-screen ya kumponyesha na hilo imekuwa ni suala la umri ambapo sote tunakumbuka aliadhimisha birthday kama hii kabla ya mauaji ya Kanumba. Kwangu mimi anapofanya haya sasa hivi haimongezei excuse bali inanitia hasira zaidi. Ni kama amefanya sherehe na wenzake ya kujipongeza baada ya maangamizi ya Kanumba kwani hiyo birthday ya miaka 18 alishaifanya miaka iliyopita. Rudieni tena kusoma comments za Raimundo.

Changamka ndugu, hii sio Birthday Party, ni kujipongeza na ushindi wa mauaji waliyoyafanya! Connect dots utagundua kitu!

Ugomvi wa Lulu na marehemu ulitokana na simu kati ya Lulu na Dk Cheni usiku ule wa tukio, baada ya Lulu kumaliza kufanya mauaji aliyemchukua na gari alikuwa ni Ali Kiba (alikompeleka hatujua, ilikuwaje Ali Kiba akawa maeneo aliyopo Lulu usiku huo hatujui, je, walionana tu au alimpigia simu ili amfate, au walipanga utanisubiri mahali fulani hatujui, baada ya yote kutokea Dk Cheni amekuwa bega kwa bega kuhakikisha Lulu anatoka nje).

Baada ya yote hayo, angalia idadi ya mahudhurio, upendo unaoonyeshwa kwenye picha hizo zenye kuwahusisha Ali Kiba, Lulu na Dk Cheni.

Mnishamehe, kesi iko mahakamani. Sikutakiwa kufikiria hivi nilivyofikiria maana naona kama wataumbia, "Mkome si mnajifanya mnampenda, mpendeni sasa!"
 
mkuu,naona hasira zako ndo zinakuongoza kuchambua hayo mambo unayoyazungumzia..Kanumba(R.I.P)_ alikua kipenzi cha wengi nikiwemo mimi,but amefariki,na lulu ndo yuko hai,mnataka aomboleze mpaka lini?..imagn angekua dada yako kapatwa na huo mkasa,je usingependa kumuona akifurahi tena?..uyu bado binti mdogo,mwacheni afurah ss..kapitia mkubwa
Mangaline, chilubi na mimisa mngekuwa na akili ya kuchambua mambo ndipo muandike kitu mngelifaa zaidi julwaa hili. Suala hapa si kufurahi wala kufanya sherehe ya kuzaliwa bali ni kitendawili andachokirudisha kwenye "chorus" ya umri. Suala la kifo cha Kanumba limaigusa sana jamii hii na anayejua siri yote juu ya kifo hicho ni Lulu. Smoke-screen ya kumponyesha na hilo imekuwa ni suala la umri ambapo sote tunakumbuka aliadhimisha birthday kama hii kabla ya mauaji ya Kanumba. Kwangu mimi anapofanya haya sasa hivi haimongezei excuse bali inanitia hasira zaidi. Ni kama amefanya sherehe na wenzake ya kujipongeza baada ya maangamizi ya Kanumba kwani hiyo birthday ya miaka 18 alishaifanya miaka iliyopita. Rudieni tena kusoma comments za Raimundo.
 
mkuu,naona hasira zako ndo zinakuongoza kuchambua hayo mambo unayoyazungumzia..Kanumba(R.I.P)_ alikua kipenzi cha wengi nikiwemo mimi,but amefariki,na lulu ndo yuko hai,mnataka aomboleze mpaka lini?..imagn angekua dada yako kapatwa na huo mkasa,je usingependa kumuona akifurahi tena?..uyu bado binti mdogo,mwacheni afurah ss..kapitia mkubwa

Mkuu nakuona una sympathy saana na huyu binti na haikosi ama ni ndugu yako au una maslahi fulani yanayokutia upofu. Nielewe hivi: afanye sherehe hata kila siku ili mradi asichokoze hisia za watu kwani kusema ati anafikisha miaka 18 leo ni UONGO unaokera. Kila mwaka atakuwa anafikisha miaka 18? Atarudia sherehe hiyo miaka mingapi?
Angekuwa dada yangu pengine ningeona aibu zaidi na ningemshauri asikere watu na kujiaibisha. Sasa na wewe nakuuliza: Fikiri kama Kanumba (R.I.P) angekuwa ndugu yako hizi kejeli za muhusika wa kwanza wa kifo chake ungezichukuliaje? Kweli marehemu hana haki!
 
Ndo Tanzania yetu hiyo mkuu; inchi pekee isiyo na utawala wa sheria. Tunashuhudia watu wanang'olewa meno na kucha na watesaji wao wanakwenda baadaye kuwakejeli hosipitalini lakini hakuna kinachofanyika. Kesho usishangae kusikia "mshitakiwa wa kwanza kwenye kifo cha Kanumba siyo Lulu ni CHADEMA!"
 
Umeona, ee?
 
Mangaline, chilubi na mimisa mngekuwa na akili ya kuchambua mambo ndipo muandike kitu mngelifaa zaidi julwaa hili. Suala hapa si kufurahi wala kufanya sherehe ya kuzaliwa bali ni kitendawili anachokirudisha kwenye "chorus" ya umri. Suala la kifo cha Kanumba limaigusa sana jamii hii....
Suala la kufanya sherehe is too personal, suala la kudanganya umri si la kwanza kutokea, tumeona watu wanadanganya umri kazini, na hata kuforge vyeti, Hivyo why to be interested with this girl????? Who is she???? Suala la kuua kwa kisa cha kupenda, is too common, angeweza akafa yeye, kama ambavyo alikufa mwenzake, unayetaka kutuaminisha kuwa ni shujaa. Wengine hata yalikwisha tukuta kama hayo, na kwa bahati njema, tulifanikiwa kutotambulika. In general katika issue ya mapenzi mambo hayo ni ya kawaida sana, ama kwa kukusudia au hata kwa bahati mbaya. All in all, yaliyopita yamepita, aliyekufa tulikwisha zika (Mwenyezi Mungu amweke mahali pema) na aliyehai, basi Mahakama itatenda kazi yake, na siku ya mwisho huko juu Mbinguni kwa Baba, atalipwa kwa kadri ya matendo yake. Hapa duniani, anayohaki ya kufanya kila awezalo kuiokoa nafsi yake, iwe ni kwa kufanya sherehe za miaka 18 mara 50, ama hata kutumia akili yake ya kuzaliwa, iwe kuhonga pesa au hata vinginevyo, ili mradi ajiokoe na hukumu ya hapa Duniani. Kwetu kama jamii - Hatuhusiki, isipokuwa kama una ushahidi, ni haki yako kuutoa mahakamani, ili akapate haki yake ya kunyongwa.
 
Back
Top Bottom