MAMA TAJIRI--MAJAY-NARGIS-MASOUD-????? NI KAZEZE.Wakamuulize kwanza Nargis Mohammed kuhusu huyo Majey, kisha ndio waanze kujitangaza.
Majey ni kama amekuwa na hasira na hawa watoto wa kike wa hapa mjini, alimvunjia uchumba Nargis kwa Masoud Kipanya ambaye tayari alishampiga talaka mkewe Mama Malcom ili amuoe Nargis.
Kipanya hana hamu na Majey hata kidodo, hadi alimfanya akengeuke kwenye dini yake.
Ila Kipanya alipata nafuu baada ya kusikia Majey kamtosa pia Nargis.
Ova
what goes around come aroundIla inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,
Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
meaningmmh naona dalili ya aka kaugonjwa kurudi #GLU
ushaambiwa maj anamatatizo ya kiufundi tulizanaYani huyu Hamisa ninavyompenda halafu kuna watu huko wanamchezeachezea tu..grrrrrrr!!!
waweza kuta papuche haina ladha usuhadaike na rangi tamu ya chai ni sukariJmn wanaume cjui wanataka nn jmn..yan kwa alivyo hamisa vile bado mtu anahangaika looh
Namchukua hamisa hapoKwa sababu tumeamua kuwa wambea moja kwa moja......ambao ni sunna......hebu tuangalie nani zaidi.....
Ila kwa uzur wa hamisa pachup c kituwaweza kuta papuche haina ladha usuhaike na rangi tamu ya chai ni sukari
Duu yataka moyoNataka nimupose awe shemejiyo kaka Mshana ila anihakikishie tu jamaa hatakuwa anamurubuni wakumbushie hata kama Mimi ni mchovu kupiga mabao.
what goes around come around
Majizo anawabandua tu halafu anapenda vitoto tu , Ila jamaa nadhani Labda Kondomu hatumiii, kamdhalisha Hamisa Mabeto Sasa yupo na Lulu , halafu hataki kabisa Watu wazima wenzakeMshindi wa tuzo ya AMVCA 2016, Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefunguka na kuelezea mahusiano yake na CEO wa EFM, Dj Majay baada ya hivi karibuni kuonekana kuwa karibu zaidi.
Akizungumza katika kipindi cha Friday Night Live cha East Africa Television Ijumaa hii, Lulu alisema kama ni kweli yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na Majay basi mashabiki wake watasikia taarifa za ndoa.
“Ninaweza nikasema ndio wakati sio kweli na ninaweza kusema hapana wakati ni kweli, lakini kikubwa zaidi kimaadili ya kitanzania, kimaadili niliyofundishwa mimi, mchumba hatangazwi, ndoa ndiyo inatangazwa,” alisema Lulu.
Aliongeza, “Kama ni kweli ndoa itakuja na watu wataona, lakini siwezi kutangaza wakati bado hatuna mikakati ya ndani zaidi.”
Mhhhhhhh hadi nimeogopa,mjini hapa sio pa kuchezea kabisaaaa.Hawa watoto hivi wanajua hali ya afya ya yule mama ambaye majay alikuwa akiwekwa mjini ambaye baadae alikuwa share na tajiri wa majay maisha club? ?? Waangalie picha za Mr nice za zamani na leo kabla hawajaanza kutambiana kwenye mitandao. ..mdudu yupo wasilete masihara
Haha una hangover? ulikua pinpoint Au wapiMkuu nina hangover bana......hebu nitafsirie........
Ndiyo napowashangaa wanaume ....huyy nae kisu ila ndo hvyo sijui kibutu......Mashaullah mtoto paja limeumuka ila kazidiwa ufundi
Hamisa huo mwili na hapo ana mtotoKwa sababu tumeamua kuwa wambea moja kwa moja......ambao ni sunna......hebu tuangalie nani zaidi.....
Haha una hangover? ulikua pinpoint Au wapi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25]Ndiyo napowashangaa wanaume ....huyy nae kisu ila ndo hvyo sijui kibutu......