Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

Haka ka majizo kamekula chumvi ??!
Balaaa na anawatembezea dudu balaa, unajua hawa dada zetu wanapata ustaa wajkati akili bado haijakomaa so wengi wao wnaishia kufanya maamuzi ambayo ni zero
 
Ila afya ya jamaa si inaeleweka jamani...mbona hawa watoto hawajali kabisa hilo suala, yani hata ukimwangalia yule jamaa hayupo sawa. Pesa zitawapeleka pabaya sana hawa.
 
Ila inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,

Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
jaman kwan Lulu kampora Hamisa mpenzi ama Dj ndo alikuwa hajatoa mwongozo rasmi kwamba amuoe yupi?
 
Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
HAJAPOKONYWA ILA MUMEWE NDIYE KWA TAMAA ZAKE KAMPENDA LULU. TUSITUMIE KUPOKONYWA WAKATI NI JUHUDI ZA MMEWE KUKIMBILIA MSITUNI
 
Unajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
we ulitarajia aoe mwanamke anajiachia hivyo ht huyo aliyemchukua anapiga tuu thn anasepa,kupata mke kazi mkuu
 
Bi Helen Sweya,yuko wapi huyu mama kimya sana siku hizi
Yaan acha kbs nilikua na muadmire sn uyu mama enz hizo yuko TBL km marketing maneja na matamasha ya likizo tym na akina Majay na Vj Penny channel Ten/magic fm.Mara akainvest maisha club na Enterntainment masterz mihela tu akawa anaingiza,Aiseee kama mpunga Bi mdash anao na maisha mazur anayo.Mama alikua anajua kuitendea haki profesional yake.Alikua anapiga hela balaaa.Yupo sn hapa hapa jijin darslaam anakula maisha,ukienda makongo pale shule utamkuta nadhan kuna biashara anafanya na shule ya makongo nahis ni canteen au ana maDuka pale makongo secondary.Ila da inasikitisha sana kuona mama msomi mwenye watoto wawil wakike wazur wanamsoma mama yao humu jf.Eeeh Mungu hawa mama zetu nao.Niepushie mbal asije akawa mama angu.Ila hawa wakaka wa mjin nao wanapenda sana slope aisee.Mama Sweya wa watu maskin,Elim yake,pesa zake Leo anaishia kua na profile chafu uzeeen.Mpore mwenyewe na mshikaj sn inauma sn ninayoyasoma humu.Mungu waongoze mama zetu.
 
Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
walimpendea nini?? pesa haichagui binamu, ukiwa na pesa hata kama una sura kama lemutuz le mubebez watakushobokea tu
 
hii mpore hapo ni jina la mtu?!
mama alikuwa single mama?! akaamua kujiachIA NA HAWA MADOGO?! KINA MAJIZO AU ALIKUWA MJANE HUYU MAMA?!.....
 
Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
hahaha my sis nifah nilitaka kushangaa huu uzi ukupite hivi hivi
 
Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
Wenzio wameachiwa vizungu zungu jaribu na ww............!
 
hahaha my sis nifah nilitaka kushangaa huu uzi ukupite hivi hivi
Halafu sijui nimekuwaje? Takribani mwezi sasa nimeacha umbea.
Ila yote haya nayajua ndio maana niko kimya,sioni jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…