Balaaa na anawatembezea dudu balaa, unajua hawa dada zetu wanapata ustaa wajkati akili bado haijakomaa so wengi wao wnaishia kufanya maamuzi ambayo ni zeroHaka ka majizo kamekula chumvi ??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaaa na anawatembezea dudu balaa, unajua hawa dada zetu wanapata ustaa wajkati akili bado haijakomaa so wengi wao wnaishia kufanya maamuzi ambayo ni zeroHaka ka majizo kamekula chumvi ??!
kheeeeeeeeeeeeeeeeeee sasa napata picha
jaman kwan Lulu kampora Hamisa mpenzi ama Dj ndo alikuwa hajatoa mwongozo rasmi kwamba amuoe yupi?Ila inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,
Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
HAJAPOKONYWA ILA MUMEWE NDIYE KWA TAMAA ZAKE KAMPENDA LULU. TUSITUMIE KUPOKONYWA WAKATI NI JUHUDI ZA MMEWE KUKIMBILIA MSITUNIUnajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
we ulitarajia aoe mwanamke anajiachia hivyo ht huyo aliyemchukua anapiga tuu thn anasepa,kupata mke kazi mkuuUnajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Bi Helen Sweya,yuko wapi huyu mama kimya sana siku hizi
Yaan acha kbs nilikua na muadmire sn uyu mama enz hizo yuko TBL km marketing maneja na matamasha ya likizo tym na akina Majay na Vj Penny channel Ten/magic fm.Mara akainvest maisha club na Enterntainment masterz mihela tu akawa anaingiza,Aiseee kama mpunga Bi mdash anao na maisha mazur anayo.Mama alikua anajua kuitendea haki profesional yake.Alikua anapiga hela balaaa.Yupo sn hapa hapa jijin darslaam anakula maisha,ukienda makongo pale shule utamkuta nadhan kuna biashara anafanya na shule ya makongo nahis ni canteen au ana maDuka pale makongo secondary.Ila da inasikitisha sana kuona mama msomi mwenye watoto wawil wakike wazur wanamsoma mama yao humu jf.Eeeh Mungu hawa mama zetu nao.Niepushie mbal asije akawa mama angu.Ila hawa wakaka wa mjin nao wanapenda sana slope aisee.Mama Sweya wa watu maskin,Elim yake,pesa zake Leo anaishia kua na profile chafu uzeeen.Mpore mwenyewe na mshikaj sn inauma sn ninayoyasoma humu.Mungu waongoze mama zetu.Bi Helen Sweya,yuko wapi huyu mama kimya sana siku hizi
walimpendea nini?? pesa haichagui binamu, ukiwa na pesa hata kama una sura kama lemutuz le mubebez watakushobokea tuNdio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
hii mpore hapo ni jina la mtu?!Yaan acha kbs nilikua na muadmire sn uyu mama enz hizo yuko TBL km marketing maneja na matamasha ya likizo tym na akina Majay na Vj Penny channel Ten/magic fm.Mara akainvest maisha club na Enterntainment masterz mihela tu akawa anaingiza,Aiseee kama mpunga Bi mdash anao na maisha mazur anayo.Mama alikua anajua kuitendea haki profesional yake.Alikua anapiga hela balaaa.Yupo sn hapa hapa jijin darslaam anakula maisha,ukienda makongo pale shule utamkuta nadhan kuna biashara anafanya na shule ya makongo nahis ni canteen au ana maDuka pale makongo secondary.Ila da inasikitisha sana kuona mama msomi mwenye watoto wawil wakike wazur wanamsoma mama yao humu jf.Eeeh Mungu hawa mama zetu nao.Niepushie mbal asije akawa mama angu.Ila hawa wakaka wa mjin nao wanapenda sana slope aisee.Mama Sweya wa watu maskin,Elim yake,pesa zake Leo anaishia kua na profile chafu uzeeen.Mpore mwenyewe na mshikaj sn inauma sn ninayoyasoma humu.Mungu waongoze mama zetu.
hahaha my sis nifah nilitaka kushangaa huu uzi ukupite hivi hiviNdio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
upo nyuma ya wakati ndugu.Lulu Na Gigy Si Ndo Wanamgombea Tekno-mile Wa Nigeria
sio mtundu mtundu ni MUNDUNDU balaa!Ila hauwezi jua labda lulu kampa vitu vyote special jamaa akachanganyikiwa maana yule binti nae mtundu mtundu sana
Wenzio wameachiwa vizungu zungu jaribu na ww............!Ndio hivyo mkuu,jamaa kapiga wote hapo na sasa yuko na Lulu.
Haka kajamaa sijui hata wanakapendea nini!
Ila katika wote Hamisa ndio anatia huruma maana alimpenda jamaa mpaka basi!
Halafu sijui nimekuwaje? Takribani mwezi sasa nimeacha umbea.hahaha my sis nifah nilitaka kushangaa huu uzi ukupite hivi hivi
Wa nini mimi?Wenzio wameachiwa vizungu zungu jaribu na ww............!