Sometimes its better kukaa jela kwa maana akiwa kule anakuwa huru na upweke wake kulikoni huku uraiani ambapo kila mtu anamtazama kwa jicho la mkosaji na haachi kumnyooshea kidole kwa kumlaumu.
Ndivyo wanadamu tulivyo, tunaacha kutoa attention yetu kwenye mambo ya msingi kama ongezeko la joto lisilo la kawaida, ukosefu wa ajira, mfumo mbovu wa siasa ambao hautusaidii kuendelea kama taifa, kumomonyoka kwa maadili katika jamii, mkaranganyiko katika gender roles, na vinginevyo, yet tupo tayari kutoa a 100% attention kwenye personal lives za watu na kuwafuatilia as if that will have a positive impact katika maisha yetu.
We need to leave her alone, and start living like the true civilians!