Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu

Sometimes its better kukaa jela kwa maana akiwa kule anakuwa huru na upweke wake kulikoni huku uraiani ambapo kila mtu anamtazama kwa jicho la mkosaji na haachi kumnyooshea kidole kwa kumlaumu.

Ndivyo wanadamu tulivyo, tunaacha kutoa attention yetu kwenye mambo ya msingi kama ongezeko la joto lisilo la kawaida, ukosefu wa ajira, mfumo mbovu wa siasa ambao hautusaidii kuendelea kama taifa, kumomonyoka kwa maadili katika jamii, mkaranganyiko katika gender roles, na vinginevyo, yet tupo tayari kutoa a 100% attention kwenye personal lives za watu na kuwafuatilia as if that will have a positive impact katika maisha yetu.

We need to leave her alone, and start living like the true civilians!
 
Wanadamu mna roho ngumu sana........hamna imani wala huruma.
As if nyie si wadhambi.......na huku mnaongoza kwa kuua.kutoa mimba kila leo,kuwaambia madem zenu watoe mimba.au huko si kuua?kutofautiana miaka tu ila kuua ni pale pale

Ni vyema mja kumrudia muumba wake na wengi tunamrejea tuwapo na shida.ajabu ni nini sasa apo cha kuwafanya mtokwe na povu
 
Mungu??? Yaliyotokea/Waliyofanya kabla ya hukumu waliagizwa na Mungu?

Imeandikwa Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI......, ila sikumbuki kama wamefafanua kama kila mauti ni matokeo ya dhambi au la!

Ni wanaume wangapi wamekufa wakiwa kwenye mahusiano na Lulu??? Yeyote mwenye kujua tafadhali!!!!
 
Ni kweli akimaliza atakuwa huru pia upande wa pili utaridhika kelele zitaisha kila mtu atabaki kupambana na hali yake.
 
Kibatala aachane na hili swala la rufani,
 
DAB alimwambia "dady is coming" sina shaka after a week akawa sehemu fulani ughaibuni akila bata....sisi na mama kanumba tukidhani mahakama ipo juu ya kila kitu kumbe kuna walio juu ya mahakama...
 
Mungu pia huwa anashiriki kwenye mambo ya uzinzi namna hiyo? Au alikuwa anamaanisha miungu
kila kitu kinategemea na jinsi wewe unakitizama,
uzinzi sio mbaya kama unauchukulia sio mbaya,na ni mbaya kama unauchukulia mbaya,
it is all in your head
 
Mungu pia huwa anashiriki kwenye mambo ya uzinzi namna hiyo? Au alikuwa anamaanisha miungu
kila kitu kinategemea na jinsi wewe unakitizama,
uzinzi sio mbaya kama unauchukulia sio mbaya,na ni mbaya kama unauchukulia mbaya,
it is all in your head
 
Binadamu hatujakamilika Ndio maana Mungu huyohuyo aliweka toba baada ya dhambi.
 
Safi Sana Lulu miaka miwili si Mingi Kwenye uhai mwaka Unaisha kuna Baadhi ya watu hawajafanya lolote la maana na wako huru tu uraiani.
 
Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.

Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
Pole ndugu. Mungu unayemuamini akusaidie
 
Kashakutana na wajanja jela wamemwambia mvua 2 sio Inshu dogo. Utasumbiliwa kukata rufaa mwaka mzima. Mwisho wa siku miaka 2 inapita unawekwa tena ndani miaka minne. Segedance mbona kiroho safi tu. Pale ni kazi za usafi, kuchota maji then saa kumi na mbili kulala. Week end wakina muna wanampelekea mikuku anakula weeee, akitoka full kunenepa tu.
 
Angeshauliana na wakili wake kwanza hapo akitoka atabaki na criminal rekodi mbaya. Mbeleni ataijutia hio rekodi hasa akitaka fanya kazi nchi za watu
 
Hongera kwa ujasiri na msimamo wa kiubinadamu ulioambatana na hofu ya Mungu. Hakika nakuambia hili litakuwa ni lango jingine kubwa zaidi la mafanikio yako ya baadaye kwani ni fursa kwako ukirudi utakuwa kweli kioo cha jamii kwani walio wengi hawatakuwa na taswira ya kijamii kama utakayokuwa nayo. Natamani kujua uko gereza gani ili siku moja nije nikutembelee na kukupa moyo kwani haya ni mapito na hakuna jaribu linalokujia kama una imani na likushinde. .... Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…