Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu

Umeacha sasa, hahaha mabinti mkiwa wazuri na vijisent mnajiona kama miungu watu
Wee nimeacha asee mkuu...mi hata ukinitukana yaan nakimbia speed ya usain bolt[emoji23] [emoji23]

Nimekuwa mtu safi, siendeshwi na mambo ya dunia tena, after all najua wote tunapita, na rehema za Mwenyezi Mungu naziona baada ya kubadilika!
 
Wee nimeacha asee mkuu...mi hata ukinitukana yaan nakimbia speed ya usain bolt[emoji23] [emoji23]

Nimekuwa mtu safi, siendeshwi na mambo ya dunia tena, after all najua wote tunapita, na rehema za Mwenyezi Mungu naziona baada ya kubadilika!
Hapo safi aisee sasa wewe ukisema umeacha unakua umeacha kweli kuliko wale ambao hawajapitia hayo wakala bakora hao uwa wanatoka kwenye utulivu wanakuwa mcharuko ukubwani.
Hope Lulu akirudi uraiani atakuwa mtu safi sana.
Sijui Majizo atamaubiri au atamkuta ashapata mtoto mwingine na giggy
 
y
es atakuwa huru kabisaa hapo nimemkubali
 
Huyo dogo wamemharibu haohao wabongo muvi kuanza kumpiga tindo akiwa angali bado under age,hili suala la kugegedwa watoto wadogo ni suala mtambuka hapa nchini,tabia ya kula maembe mabichi imeshamiri sana
 
Yeye ni nani mpaka taifa zima lina hamaki kisa hicho,,,,lakin kuna mwanangu aliuwa bila kukusudia kapigwa 19 ysr ndani acheni zenu unafki tuu
 
niuwamuzi mzuri,hapo unachofanya unafungua moyo unamuona bwana jela anakupa uniform.
 
Si kashaambiwa dady anakuja kumtoa....unaeza shangaa anapelekwa zake nchi nyingine akaponde raha paka miaka miwil ipite alaf ndo arudi alaf mnadanganywa alikuwa jela ...mbona kunawaliojificha tukaambiwa wamekufa na mpaka leo wanapeta tu sembuse yeye miaka miwili tu!!!
 
Inasikitisha mno,ila kama kweli ni uamuzi wake wa kweli ninauheshimu ila hii ni total miscarriage of laws,she was under age na sharia inasema kabisa kuwa na mapenzi na underage ni makosa maana umri huu huwezi kufanya maamuzi kwa busara(ability to apply your mind) hii ilikuwa ni ubakaji kwake na mbaya zaidi mahakama nayo imembaka tena.
 
Hivi ni mlokole? duh, ulokole ni mrahisi siku hizi? kuna mtu amefaya updation ya biblia nini?
Hahahaa ulokole wa kizazi kipya. Kuna dhambi zingine watu wameona wawe wanajisamehe tu
 
We acha tu...yaani mi adhabu yangu niliadhibiwa na yeye direct sio walimwengu wala nini! Yaani mpaka nikaogopa!

Usiombe watulivu wakianza micharuko ukubwani kurudi hali yake ya kawaida ni ngumu asee!

Majizo anaweza mvumilia miaka miwili sio mingi kama kweli anampenda
 
I do hope so!
 
NA SHIDA YAKE KUBWA NI KIU AMBAYO ANAENDELEA KUKATIWA BILA SHIDA WAKATI WA MATEMBEZI YA WADAU.BORA ABAKI GEREZANI NA ATATUNGA MUVI NYINGI AKIWA KULE
 
Amefanya vizuri lakini angefanya vyema zaidi kama kwa kipindi chote alichokuwa nje kukitumia kuwa karibu na familia ya kanumba,kuiomba msamaha,kuachana na media kabisa,kutumia muda mrefu kujutia yaliyotokea huku akifanya kazi zake pengine kutunga( kuandika) movie/Tv series nk.
 
Hii mipango unayomsemea Mungu mlipanga wote?
Na wewe unayepinga je alikwambia siyo mipango yake?
Kumbuka Mungu anajua mwanzo na mwisho wa kila mtu hata kabla ya kuzaliwa, anauwezo wa kubadili chochote au kuacha kwa makudi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…