Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu

Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.

Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.

Alimuua uliona ??? Aue Afungwe miaka 2???
 
Mwenyenzi Mungu Mkuu..ndie aliyemtuma akafanye ngono bado mdogo..aende Night club bado mdogo..mwambieni achaa upumbavu mkubwa wakumshirikisha Mwenyenzi Mungu na uchafu wake

Mungu mwenyew akitaka atamwambia...ss ni nani tumkataze ilihali Tuna mapungufu yetu
 
Mwenyenzi Mungu Mkuu..ndie aliyemtuma akafanye ngono bado mdogo..aende Night club bado mdogo..mwambieni achaa upumbavu mkubwa wakumshirikisha Mwenyenzi Mungu na uchafu wake
Hayo yaliyomtokea ni mipango ya Mungu kweli. Uenda alimhasi sana ndio maana amempa fundisho ili ajirekebishe na hiyo funzo kwa wengine
 
Wewe ni msafi?
Kwahiyo yeye kwenda jera ni mapenzi ya shetani?
Ulitaka aseme nakubariana na mapenzi ya shetani?
Kuna kosa mtu kubadirika na kuanza kumtegemea Mungu?
Mkuu maswali yako ni sahihi sana.. Ila unakosea Kilichotokea kwa lulu ni hila za shetani tu.. Na kama ni majaribu pia yametoka kwa shetani ila Mungu kayaruhisu yatokee kwao.. Na ndio maana hata Ayubu Alijaribiwa na shetan ila kwa ruksa kutoka Kwa Mungu..

Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.

Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
 
Mkuu maswali yako ni sahihi sana.. Ila unakosea Kilichotokea kwa lulu ni hila za shetani tu.. Na kama ni majaribu pia yametoka kwa shetani ila Mungu kayaruhisu yatokee kwao.. Na ndio maana hata Ayubu Alijaribiwa na shetan ila kwa ruksa kutoka Kwa Mungu..
Kitendo cha Mungu kuyaruhusu basi ni mapenzi ya Mungu maana angeamua angeyazuia.
Mfalme Daudi alipochukua mke wa mtu na kumfanyia hila ili afe vitani apate kumuoa mkewe, Mungu alimuadhibu kwa kumuua mtoto aliyezaliwa ili apate funzo asije rudia kosa hilo.
Mungu ana njia nyingi za kuturudisha kwenye mstari.
 
Namuunga mkono wasikate rufaaa wacha apitie kikombe alichoandikiwa na akitoka atakuwa mtu mwingine kabisa.
 
Kwa hiyo Mungu alipanga yeye amuue Kanumba,aende jela? Huyo Mungu au taahira.

Ndio maana wengine tunasema Mungu au anaeitwa mungu hayupo. Kama ujinga wote unaotokea duniani ni mipango yake basi huyo atakua taahira.
Mkuu Mungu yupo lakini watu wengi hupenda kufanya maukinga yao alafu wanasingizia mpango wa Mungu lakini pia ujinga unaofanywa unaratibiwa na mungu wa herufi ndogo "m" sio Muumba Mbingu na Nchi ...
 
Safi Lulu, katu usikate rufaa, utaongezewa miaka. Rufaa yako haiwezi kukuacha huru. Tumia fulsa ya maisha ya Jera kujifunza mambo mengi yaliyoko huko.
Ziko fulsa nyingi pia huko Jera.
 
Kitendo cha Mungu kuyaruhusu basi ni mapenzi ya Mungu maana angeamua angeyazuia.
Mfalme Daudi alipochukua mke wa mtu na kumfanyia hila ili afe vitani apate kumuoa mkewe, Mungu alimuadhibu kwa kumuua mtoto aliyezaliwa ili apate funzo asije rudia kosa hilo.
Mungu ana njia nyingi za kuturudisha kwenye mstari.
Very true mkuu..

Mi mwenyewe ni shahidi nishanyooshwa asee, sina hamu
 
Mkuu maswali yako ni sahihi sana.. Ila unakosea Kilichotokea kwa lulu ni hila za shetani tu.. Na kama ni majaribu pia yametoka kwa shetani ila Mungu kayaruhisu yatokee kwao.. Na ndio maana hata Ayubu Alijaribiwa na shetan ila kwa ruksa kutoka Kwa Mungu..
Mungu hayupo. Mungu anaefurahia watu wake kupata shida hayupo au akili yake sio nzuri.

Kama sisi binadam tunajua kabisa maisha ya jela sio mazuri, jela ni mateso alafu Mungu afurahia kiumbe chake kiende huko kupata mateso basi huyo mungu sio mzima.

Lengo lake ni nini hasa kama anaruhusu mtu wake apate matatizo na mwisho wa siku afungwe au auwawe, yeye anapata faida gani? Anafurahia nini kuona mtu anapata shida.

Haya mambo ya mungu ni hadithi tu za abunuasi, hakuna uhalisia.
 
Ulifanya nini na yakakupata yapi mkuu?
Ujeuri ujeuri tu hapa mjini si unajua usistaduu afuu uwe na vihela hela...basi full tafrani, mwanzo niliisikia ile sauti ndogo ikiniambia niache " umapepe" ( kwa wakristo tunasemaga ni roho mtakatifu) mi nikawa napotezea tu....ile sauti ya ushawishi ambayo inakuwaga na nguvu ndiyo nikawa naifata kumbe najichimbia kaburi, yaliyokuja nikuta ni sina hamu mkuu

Yaani nilinyooshwa mpaka nikajua kabisa kwamba hii ni bakora from Sir God..
 
Ujeuri ujeuri tu hapa mjini si unajua usistaduu afuu uwe na vihela hela...basi full tafrani, mwanzo niliisikia ile sauti ndogo ikiniambia niache " umapepe" ( kwa wakristo tunasemaga ni roho mtakatifu) mi nikawa napotezea tu...yaliyokuja nikuta ni sina hamu mkuu

Yaani nilinyooshwa mpaka nikajua kabisa kwamba hii ni bakora from Sir God..
Umeacha sasa, hahaha mabinti mkiwa wazuri na vijisent mnajiona kama miungu watu
 
Aaaaah asikate tamaa kuaridhisha watz ni wanafiki apigane mpaka mwisho, hata akitumikia miaka miwili iyo bado kina mange kasema wataongea tu, dah asifadhaishwe na maneno ya watu baki
 
Back
Top Bottom