Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu


Ujuaji mwngne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]..kasome hadithi ya Ayubu uone mwenyew Mungu alivyoruhusu ajaribiwe..Mungu hachunguzk Ana mipango yake
 
Vingine vimechanganywa na kigreek na kilatini
 
Ujuaji mwngne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]..kasome hadithi ya Ayubu uone mwenyew Mungu alivyoruhusu ajaribiwe..Mungu hachunguzk Ana mipango yake
Hizo hadith hazina maana. Bado hizo hadith za kina ayubu zinaonyesha kabisa kua Mungu hayupo.

Aliporuhusu ayubu ateseke yeye alikua anafurahia nini. Anapata raha gani au kitu gani anapoona mtu anateseka.

Hakuna mzazi anaeweza kukubali na kufurahia mwanae ateseke, lakini cha ajabu Mungu anaejinasibu kua anawapenda watu kuliko wazazi wao yeye anafurahia kuona watu wakiteseka.

Kitu kama.hicho hakipo.
 
nakapenda sana haka kabinti,next Sunday ntakatembelea pale gerezani kukatia moyo
 
Ujuaji mwngne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]..kasome hadithi ya Ayubu uone mwenyew Mungu alivyoruhusu ajaribiwe..Mungu hachunguzk Ana mipango yake
Wewe ndiye uliyekosea kwa kuielewa vibaya hadithi ya Ayoub. Kwanza Ayoub mwenyewe hakuwa akijua ni nani anayemfanyia yale, ndo maana akanena mambo kama "Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe" Laiti angejua kwamba lile si tendo la "Bwana wake" asingeyasema haya.

Ila pia, Bible inasema "Mungu hamjaribu mja wake na wala YEYE hajaribiwi" ,,,kujaribu ni kukosa uhakika wa jambo,, hii si sifa ya UUNGU.
 
Kwa vile tu Mungu hafanyi kazi kama polisi, vinginevyo watu wengi sana wangekuwa mahabusu kwa kumsingizia. Mungu ametupa akili ya kujua mema na mabaya. Bado tunapofanya ujinga wetu tunasema ni mapenzi yake. Eboo!!!
 
dady is coming.......Je mnaelewa nyuma ya hiyo kauli kuna nini.? Stay tuned
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha isiyoeleweka kingereza
 
Eti "akubali...." kwani kulikuwa na chaguzi zaidi ya kifungo!?
 
Mwenyenzi Mungu Mkuu..ndie aliyemtuma akafanye ngono bado mdogo..aende Night club bado mdogo..mwambieni achaa upumbavu mkubwa wakumshirikisha Mwenyenzi Mungu na uchafu wake
Ila Mungu huyo huyo ndiye alimpa cha kufanyia uzinzi, Binadamu ukipewa kheri Mshukuru Mungu, ukipata shida Muombe Mungu, hakuna mwingine zaidi yake. Mungu akikuchagua hukeepusha na majanga yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…