Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu

Lulu akubali kukaa jela, awaambia ndugu zake wasikate rufaa kilichotokea ni mipango ya Mungu

Mungu hayupo. Mungu anaefurahia watu wake kupata shida hayupo au akili yake sio nzuri.

Kama sisi binadam tunajua kabisa maisha ya jela sio mazuri, jela ni mateso alafu Mungu afurahia kiumbe chake kiende huko kupata mateso basi huyo mungu sio mzima.

Lengo lake ni nini hasa kama anaruhusu mtu wake apate matatizo na mwisho wa siku afungwe au auwawe, yeye anapata faida gani? Anafurahia nini kuona mtu anapata shida.

Haya mambo ya mungu ni hadithi tu za abunuasi, hakuna uhalisia.

Ujuaji mwngne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]..kasome hadithi ya Ayubu uone mwenyew Mungu alivyoruhusu ajaribiwe..Mungu hachunguzk Ana mipango yake
 
Sisi wengine tumekaa jela miaka sita kwenye shule za boarding za serikali! Tukila ugali wa dona na maharge yasiyo na ushirikiano ila mwisho wa siku tulitoka. Tulifanya kazi ngumu ikiwa ni pamoja na kusoma vitabu vigumu vya mzungu kwa lugha isiyoeleweka eti wanaiita kiingereza. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Cha muhimu awe strong, miaka miwili sio mingi kivilie!
Vingine vimechanganywa na kigreek na kilatini
 
Ujuaji mwngne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]..kasome hadithi ya Ayubu uone mwenyew Mungu alivyoruhusu ajaribiwe..Mungu hachunguzk Ana mipango yake
Hizo hadith hazina maana. Bado hizo hadith za kina ayubu zinaonyesha kabisa kua Mungu hayupo.

Aliporuhusu ayubu ateseke yeye alikua anafurahia nini. Anapata raha gani au kitu gani anapoona mtu anateseka.

Hakuna mzazi anaeweza kukubali na kufurahia mwanae ateseke, lakini cha ajabu Mungu anaejinasibu kua anawapenda watu kuliko wazazi wao yeye anafurahia kuona watu wakiteseka.

Kitu kama.hicho hakipo.
 
nakapenda sana haka kabinti,next Sunday ntakatembelea pale gerezani kukatia moyo
 
Ujuaji mwngne [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]..kasome hadithi ya Ayubu uone mwenyew Mungu alivyoruhusu ajaribiwe..Mungu hachunguzk Ana mipango yake
Wewe ndiye uliyekosea kwa kuielewa vibaya hadithi ya Ayoub. Kwanza Ayoub mwenyewe hakuwa akijua ni nani anayemfanyia yale, ndo maana akanena mambo kama "Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe" Laiti angejua kwamba lile si tendo la "Bwana wake" asingeyasema haya.

Ila pia, Bible inasema "Mungu hamjaribu mja wake na wala YEYE hajaribiwi" ,,,kujaribu ni kukosa uhakika wa jambo,, hii si sifa ya UUNGU.
 
Kwa vile tu Mungu hafanyi kazi kama polisi, vinginevyo watu wengi sana wangekuwa mahabusu kwa kumsingizia. Mungu ametupa akili ya kujua mema na mabaya. Bado tunapofanya ujinga wetu tunasema ni mapenzi yake. Eboo!!!
 
dady is coming.......Je mnaelewa nyuma ya hiyo kauli kuna nini.? Stay tuned
 
Sisi wengine tumekaa jela miaka sita kwenye shule za boarding za serikali! Tukila ugali wa dona na maharge yasiyo na ushirikiano ila mwisho wa siku tulitoka. Tulifanya kazi ngumu ikiwa ni pamoja na kusoma vitabu vigumu vya mzungu kwa lugha isiyoeleweka eti wanaiita kiingereza. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Cha muhimu awe strong, miaka miwili sio mingi kivilie!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha isiyoeleweka kingereza
 
Eti "akubali...." kwani kulikuwa na chaguzi zaidi ya kifungo!?
 
Mwenyenzi Mungu Mkuu..ndie aliyemtuma akafanye ngono bado mdogo..aende Night club bado mdogo..mwambieni achaa upumbavu mkubwa wakumshirikisha Mwenyenzi Mungu na uchafu wake
Ila Mungu huyo huyo ndiye alimpa cha kufanyia uzinzi, Binadamu ukipewa kheri Mshukuru Mungu, ukipata shida Muombe Mungu, hakuna mwingine zaidi yake. Mungu akikuchagua hukeepusha na majanga yote.
 
Back
Top Bottom