kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Huyo mama nae arudi kijijini tu, huku mjini hapamtoshi
Ukigusa tu kwa huyu andunje kesho tunapiga ile nyimbo ya kwetu pazuri au niagieniAnaliwa na nani huyu !?
Yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiee auwiiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiiiiiiUkigusa tu kwa huyu andunje kesho tunapiga ile nyimbo ya kwetu pazuri au niagieni
Analiwa na Majay Majjizo Dj wa EFM sijui ni mmiliki pia wa kituo au ni vipi.Analiwa na nani huyu !?
Ila Tanzania ina maboya wengi sana, mpaka leo hii mnaamini magazeti ya Shigongo? Au mpaka siku waje waandikwe wazazi wenu ndio mtaona wanatunga ili wauze?
Wakiandika lulu anautajiri wa bilioni moja itapingwa vikali sana kuwa ni uongo, ila habari ya kimbea namna hii inaaminika kirahisi sana...
71%
Ila Tanzania ina maboya wengi sana, mpaka leo hii mnaamini magazeti ya Shigongo? Au mpaka siku waje waandikwe wazazi wenu ndio mtaona wanatunga ili wauze?
Wakiandika lulu anautajiri wa bilioni moja itapingwa vikali sana kuwa ni uongo, ila habari ya kimbea namna hii inaaminika kirahisi sana...
71%
Mtoto wa mama wewe.....anakuuma mpaka unaingia kaburini na wewe ila nyie wa baba ni tofautiHuyu mama naye ni tatizo, aachane na mambo ya wasichana. Mbona Baba Kanumba yuko kimya na anaendeleza maisha bila malalamiko.
Mh huko tenaAlbadir??
We muache aendelee kujichetua na kujiona mrembo wa dunia!.. Hata kama ana kitu anachojivunia akumbuke haya mambo huzidiana..anaweza akapigwa kipapai cha kukazia maneno ya watu kuwa anaua wanaume likamganda!Dawa ya Lulu ndogo..ngoja huyu mama arudi kanyigo..
Hivi unajielewa mbwa wewe? Hatuongelei ubofriend wala unyoko, tunaongelea mauajiMi nadhani mama Kanumba akae kimya. Akumbuke pia Lulu hakuwa mke wa Kanumba bali gelofrendi. Kulumbana na gelofrendi wa kijana wake si busara.
Oooh kumbe hoja ya mama Kanumba ni mauaji?hivi unajielewa mbwa wewe? hatuongelei ubofriend wala unyoko, tunaongelea mauaji
The situation, we unadhan wangekua wa mama wengine wa uswahilin wangemuacha lulu? mama kanumba kafanya ustaarabu sana, wamama wengine wasingeweza kufanya kama yeye, mpaka kesho hakuna anayejua ni nini kilimuua kanumba isipokua lulu, yeye ni mtu wa mwisho kuwa na marehemu, msiongee maneno ya kipuuzi, au kwa kuwa kanumba sio ndugu yako ndo maana hujui uchungu, jaribu kubeba viatu vya mama kanumbaOooh kumbe hoja ya mama Kanumba ni mauaji?