kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Upelelezi wa kesi yake ya mauaji imefikia ukingoni, mtetezi wake mtunzi wa nyimbo ameshatangulia, hapo kazi ipo.
Tunasubiri kutendeka kwa haki, kwa uchache hatakosa miaka 10 kupotea uraiani. Kila mtu avune alichopanda, LHRC haki za binadamu kuna mtu alikatishwa umri Sinza, 2012 mbona mpo kimya?
Kwa kasi ya Magufuli sina shaka atapata haki yake anayostahili.