Lulu amtusi mama yake Kanumba, amuita KUBWA JINGA

Lulu amtusi mama yake Kanumba, amuita KUBWA JINGA

Upelelezi wa kesi yake ya mauaji imefikia ukingoni, mtetezi wake mtunzi wa nyimbo ameshatangulia, hapo kazi ipo.

Tunasubiri kutendeka kwa haki, kwa uchache hatakosa miaka 10 kupotea uraiani. Kila mtu avune alichopanda, LHRC haki za binadamu kuna mtu alikatishwa umri Sinza, 2012 mbona mpo kimya?

Kwa kasi ya Magufuli sina shaka atapata haki yake anayostahili.
 
Huyu binti anajichetua sana now kwa kuwa anajua yupo na majey........
 
Ila Tanzania ina maboya wengi sana, mpaka leo hii mnaamini magazeti ya Shigongo? Au mpaka siku waje waandikwe wazazi wenu ndio mtaona wanatunga ili wauze?

Wakiandika lulu anautajiri wa bilioni moja itapingwa vikali sana kuwa ni uongo, ila habari ya kimbea namna hii inaaminika kirahisi sana...

71%

Umenena vilivyo!
 
Huyu mama naye ni tatizo, aachane na mambo ya wasichana. Mbona Baba Kanumba yuko kimya na anaendeleza maisha bila malalamiko.
Mtoto wa mama wewe.....anakuuma mpaka unaingia kaburini na wewe ila nyie wa baba ni tofauti
 
Mi nadhani mama Kanumba akae kimya. Akumbuke pia Lulu hakuwa mke wa Kanumba bali gelofrendi. Kulumbana na gelofrendi wa kijana wake si busara.
 
Dawa ya Lulu ndogo..ngoja huyu mama arudi kanyigo..
We muache aendelee kujichetua na kujiona mrembo wa dunia!.. Hata kama ana kitu anachojivunia akumbuke haya mambo huzidiana..anaweza akapigwa kipapai cha kukazia maneno ya watu kuwa anaua wanaume likamganda!
Haya mambo ya kilozi hayana suluhu wala dhamana asijifanye mwamba
 
Ye Maza anamuhitaji Lulu wa nini? si aishi maisha yake aachane na hako katoto.
 
Mi nadhani mama Kanumba akae kimya. Akumbuke pia Lulu hakuwa mke wa Kanumba bali gelofrendi. Kulumbana na gelofrendi wa kijana wake si busara.
Hivi unajielewa mbwa wewe? Hatuongelei ubofriend wala unyoko, tunaongelea mauaji
 
Oooh kumbe hoja ya mama Kanumba ni mauaji?
The situation, we unadhan wangekua wa mama wengine wa uswahilin wangemuacha lulu? mama kanumba kafanya ustaarabu sana, wamama wengine wasingeweza kufanya kama yeye, mpaka kesho hakuna anayejua ni nini kilimuua kanumba isipokua lulu, yeye ni mtu wa mwisho kuwa na marehemu, msiongee maneno ya kipuuzi, au kwa kuwa kanumba sio ndugu yako ndo maana hujui uchungu, jaribu kubeba viatu vya mama kanumba
 
Back
Top Bottom