Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hajafanya vizuri Lulu, ila mama Kanumba pia aachane tu na hako katoto maisha yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafu watarajiwa.Analiwa na nani huyu !?
Asilani sitaki kusikia magazeti ya Shigongo wala Shibangi.Ila Tanzania ina maboya wengi sana, mpaka leo hii mnaamini magazeti ya Shigongo? Au mpaka siku waje waandikwe wazazi wenu ndio mtaona wanatunga ili wauze?
Wakiandika lulu anautajiri wa bilioni moja itapingwa vikali sana kuwa ni uongo, ila habari ya kimbea namna hii inaaminika kirahisi sana...
71%
Ila haka kabinti ni kiburi, kiburi kitupu hata uso wake unaonyesha hivyo.![]()
KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kutoa maneno ya kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, ni dalili za msichana huyo kuitafuta laana.
Hivi karibuni, mama Kanumba aliliambia gazeti moja nchini kuwa tabia ya mpenzi huyo wa zamani wa mwanaye imebadilika sana na kukosa maadili, kiasi cha kumuita yeye kuwa ni kubwa jinga.
“Sielewi jambo gani limemtokea huyo binti mpaka kufikia hatua ya kuniita mimi kubwa jinga, lakini yote namwachia Mungu maana anajua anachokifanya,” alisema mama huyo huku akionekana kulengwa na machozi.
Kwa upande wake, alipoulizwa kuhusu kutoa kauli nzito kwa mama huyo, Lulu alijibu kwa nyodo na kusema hapendi kumzungumzia chochote kwani siyo staili yake kuzungumzia mambo ya wengine katika vyombo vya habari.
“Kama yeye amesema hivyo kwenye vyombo vya habari ni staili yake, mimi staili yangu ni ya kukaa kimya, sitaki kabisa kumzungumzia huyo mama,” alisema Lulu.
Naona huyu dogo umaarufu unaanza kumpa kichwa, anaanza kuvuka redline.
Source: Gazeti letu pendwa
Wataalam wa psychology hatuangalii twice..mara moja tu facial expression inakuambia tabia yote!Ila haka kabinti ni kiburi,kiburi kitupu hata uso wake unaonyesha hivyo.
Nakumbuka alivyokuwa anagida mayi kipindi kileee wakati ndo mwanaye amefari na kumtolea maneno ya kashfa Baba Kanumba, ila ni kweli alitegemea Lulu atamsaidia kimaisha lakini Lulu anamkwepa.Huyo mama nae arudi kijijini tu, huku mjini hapamtoshi
Chakula ya majizo anajisevia tuAnaliwa na nani huyu !?
Hivyo ile kesi iliishaje?![]()
KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kutoa maneno ya kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, ni dalili za msichana huyo kuitafuta laana.
Hivi karibuni, mama Kanumba aliliambia gazeti moja nchini kuwa tabia ya mpenzi huyo wa zamani wa mwanaye imebadilika sana na kukosa maadili, kiasi cha kumuita yeye kuwa ni kubwa jinga.
“Sielewi jambo gani limemtokea huyo binti mpaka kufikia hatua ya kuniita mimi kubwa jinga, lakini yote namwachia Mungu maana anajua anachokifanya,” alisema mama huyo huku akionekana kulengwa na machozi.
Kwa upande wake, alipoulizwa kuhusu kutoa kauli nzito kwa mama huyo, Lulu alijibu kwa nyodo na kusema hapendi kumzungumzia chochote kwani siyo staili yake kuzungumzia mambo ya wengine katika vyombo vya habari.
“Kama yeye amesema hivyo kwenye vyombo vya habari ni staili yake, mimi staili yangu ni ya kukaa kimya, sitaki kabisa kumzungumzia huyo mama,” alisema Lulu.
Naona huyu dogo umaarufu unaanza kumpa kichwa, anaanza kuvuka redline.
Hata mimi aisee yani, alitakiwa ale nae sahani moja ili apate haki ya mwanawe, nina uhakika hata hajui what happened in that room, on that day, yaani eti akawa urafiki na mtu anayehusika na kifo cha mwanae, hapo alibuug step.Aangekomaa lazima lulu angekula miaka kadhaa jela.Mimi ningekua mama Kanumba Lulu nisingemuacha nisingeweza kua mnafiki huku moyo unauma
le mutuuzAnaliwa na nani huyu !?
Anaejua uchungu wa mwana.....?Huyu mama naye ni tatizo, aachane na mambo ya wasichana. Mbona Baba Kanumba yuko kimya na anaendeleza maisha bila malalamiko.