Lulu apigwa kibuti na kunyang'anywa gari baada ya kuposti picha yupo na bwana mwingine

Lulu kapigwa chini sababu sio hiyo picha anatoka na mtu mkubwa tu wa hapa nchini sasa hao mapedezee wameogopa
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.

weka picha.
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.

Shule ataiweza vipi na yeye alishaonja tunda?labda akatafute degree ya chupi!
 
Post za kipumba.vu kama hizi zinajaza severs za JF tu. ...

Napita
 
Lulu anasoma jamani au mpaka aweke mapichapicha ya shule muamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…