Mbongo movie Lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokuwa wanamuweka mjini, Yule wa Mererani na yule wa tmt.
Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake hivyo wafadhili wote wakamtema na kunyang'anywa kadi ya gari maeneo ya Kibo Palace Hotel bibie akashusha kilio kikali cha majuto.
Pole Lulu mkifadhiliwa mfadhilike,We bnti mdogo sana rudi shule my dear uwezo wa kusoma unao Kuna leo na kesho kwanini ukubali kudhalilisha mwili wako hvyo!