Lulu asherehekea Birthday yake kivingine, Japokuwa ni Mfungwa

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
  • mwananchi_officialMuigizaji Elzabeth Michael 'Lulu', anaisheherekea siku yake ya kuzaliwa kupitia wawakilishi wake katika Hospital ya Taifa Muhimbili na watoto wenye vichwa vikubwa. Lulu anatumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba
    Video: Robi Chacha
===============================================
Dr Cheni ni miongoni mwa watu walio karibu na muigizaji Elizabeth Michael”Lulu” ambapo leo April 16,2018 Lulu anasherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatumikia kifungo cha miaka miwili jela na alitaka siku hii asherekee akiwa na watoto waliozaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa pamoja na mama zao katika Hospitali ya taifa Muhimbili.

Dr Cheni, mama mzazi wa Lulu pamoja na marafiki wa karibu wa Lulu (Team Lulu) waliwakilisha zawadi kutoka kwa Lulu katika hospitali hiyo na ujumbe ambao Lulu alitaka ufike kwa watoto hao pamoja na mama zao.

Ujumbe wa Elizabeth Michael unasema>>>” Nawapenda sana, nawaombea na naamini mkiwa huru na kumuomba Mungu basi haya maradhi yatakuwa ya muda mfupi na aya za watoto zitakuwa nzuri”

Hii ni mara ya pili kwa Muigizaji Elizabeth Michael”Lulu” kuchangia katika shughuli za kijamii akiwa gerezani, mwezi uliopita alichangia pedi kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu kupitia kampeni ya Msichana Initiative.

Chanzo:
Millard Ayo

Hata kama yupo Gerezani na alikuwa na matatizo yake ila hadi hivi sasa bado sijaona Mwanamke hapa nchini Tanzania anayefikia Urembo / Unyange wa Elizabeth Michael alias Lulu. Wanawake wengi wa Tanzania ni ' Beautiful ' tu ila huyu Lulu ni both ' Pretty ' and ' Photogenic ' wa Kutukuka.
 
Dr Cheni ni miongoni mwa watu walio karibu na muigizaji Elizabeth Michael”Lulu” ambapo leo April 16,2018 Lulu anasherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatumikia kifungo cha miaka miwili jela na alitaka siku hii asherekee akiwa na watoto waliozaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa pamoja na mama zao katika Hospitali ya taifa Muhimbili.

Dr Cheni, mama mzazi wa Lulu pamoja na marafiki wa karibu wa Lulu (Team Lulu) waliwakilisha zawadi kutoka kwa Lulu katika hospitali hiyo na ujumbe ambao Lulu alitaka ufike kwa watoto hao pamoja na mama zao.

Ujumbe wa Elizabeth Michael unasema>>>” Nawapenda sana, nawaombea na naamini mkiwa huru na kumuomba Mungu basi haya maradhi yatakuwa ya muda mfupi na aya za watoto zitakuwa nzuri”

Hii ni mara ya pili kwa Muigizaji Elizabeth Michael”Lulu” kuchangia katika shughuli za kijamii akiwa gerezani, mwezi uliopita alichangia pedi kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu kupitia kampeni ya Msichana Initiative.

Chanzo:
Millard Ayo

Unajua wasanii au? Akitoka tu utaona mziki wake maana atahakikisha magazeti vichwa vya habari ni yeye tu. Majizo mbona atanyooka tuu.
Pesa za majizo hizo,jamaa anajitahidi kweli kuilea familia ya lulu na jina la lulu. Hope bidada akitoka gerezan atajituliza kama shukran kwa jamaa anavyomtunzia jina
 
Mbona Rais Dr. Magufuli amejifungia Kifungo ' maalum ' Tanzania katika Gereza la Ikulu lakini wawakilishi wake Makamu na Waziri Mkuu wanamuwakilisha vyema tu huko nje na ng'ambo na hakuna kinachoharibika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…