PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Mbona Rais Dr. Magufuli amejifungia Kifungo ' maalum ' Tanzania katika Gereza la Ikulu lakini wawakilishi wake Makamu na Waziri Mkuu wanamuwakilisha vyema tu huko nje na ng'ambo na hakuna kinachoharibika?
Magogoni mafuriko hayakufika ?