Lulu asherehekea Birthday yake kivingine, Japokuwa ni Mfungwa

Lulu asherehekea Birthday yake kivingine, Japokuwa ni Mfungwa

tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
Mungu anajua mwenyewe namna alivyomuumba mwanamke aisee,

Huo msaada kwan bei gani mpaka iwe Majizo ndo katia mkono wake?

Hata ishu ya Nandy wanawake ndo wameifanya I we kubwa, wanawake hawajui kusitiriana sijui wameumbwaje, mwenzao akiadhirika ndio furaha yao, ovyooo kabisa
 
Na utashangaa atatoka jela akiwa na mimba!!!!
 
Aisee nimekupenda mwingine apo angerudisha povu upo vizuri sana nakupongeza
Ahahahhaah yaan nimechekaa kweliii Tofali shoga angu sema hii id haijuiii kanichamba jamaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
[emoji23][emoji23][emoji23] acha masihara bhana....hadi mimiii!!!!????? acha hzo bhana
 
Nyapu uuze wewe utusingizie sie chefuuu mxiiiewwwww
tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
 
Naskia lulu ni shida kwenye by 6.kwa waliopita wametusimulia kwamba mtt ni hatari ya fire
 
Back
Top Bottom