Kutakuwa na mkono wa majizo maana haishi kumpaisha
Majizo akiwa kazini..........
Si majizo katoa tu pesa kumpaishaa
Aisee binadamu MNA kazi kubwa, wacha niishie hapaPesa za majizo hizo,jamaa anajitahidi kweli kuilea familia ya lulu na jina la lulu. Hope bidada akitoka gerezan atajituliza kama shukran kwa jamaa anavyomtunzia jina
tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...Aisee binadamu MNA kazi kubwa, wacha niishie hapa
Kafanyaje tena?Masikini Hamisa.....
wewe bwana ako ashawahu kupa pesa ht ya kuwapa pipi yatima...acha wivu..hapo unataman majizo angekua bwanakoSi majizo katoa tu pesa kumpaishaa
Tofali shoga angu mweeeee umenichamba rafiki yakooowewe bwana ako ashawahu kupa pesa ht ya kuwapa pipi yatima...acha wivu..hapo unataman majizo angekua bwanako
Aisee nimekupenda mwingine apo angerudisha povu upo vizuri sana nakupongezaTofali shoga angu mweeeee umenichamba rafiki yakooo
Mungu anajua mwenyewe namna alivyomuumba mwanamke aisee,tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
Ahahahhaah yaan nimechekaa kweliii Tofali shoga angu sema hii id haijuiii kanichamba jamaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee nimekupenda mwingine apo angerudisha povu upo vizuri sana nakupongeza
[emoji8]haya
[emoji23][emoji23][emoji23] acha masihara bhana....hadi mimiii!!!!????? acha hzo bhanatena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
Hahaaaaaaaaaaaaa UwiiiiiiiiTofali shoga angu mweeeee umenichamba rafiki yakooo