Lulu asherehekea Birthday yake kivingine, Japokuwa ni Mfungwa

Ipo siku Lulu atatolewa gerezani kabla ya muda wa kutoka haujafika.. Ili kunogesha siasa.

Hii ni nchi yangu Cpati shida kuijua.
umewaza mbele ya muda...una akili sana
 
tena hawa wote ni wanawake wenzangu ADUI WA MWANAMKE NI MWANAMKE MWENZIE...wivu tu umejaa...ndo kusema lulu hana pesa...tena lulu anawashimda kwa ubalozi...
wao ubalozi wao wa nyapu tu..mxiuu
hahaaa eti balozi wa nyapu"" daahh ..


wewe unasema mimi Nina majibu ya hovyo "" so wawaona wenye taaluma yao""Palantir
 
hahaaaa mbwa kala mbwa"" naona umemstahi kwakuwa ni shoga yako otherwise nae angeyaoga..hahaaa. kumbe huwa mnalindana daaah
Ahahahahah inategemea tu lakin Tofali mpole sana japo kanijibu kikauzu
 
Hahahahaha zile video zilinchekesha maana mdis mawingi mama ake,dada ake wote wateja wazuri wa mawigi,mchezaj mmoja wa hio three some nae mvaa wigi hodar aiseee

Msinipende bana ntakosa wa kubishana nae hahah
Na raha ya haya mambo ubishane aisee.
 
Nmeanza kupata wasiwasi km yupo kifungoni kweli hebu wampeleke kwny magereza ya lunazi yalyoko bihalamulo muone km ataendelea kujua yalyo nje ya gereza
 
Pesa za majizo hizo,jamaa anajitahidi kweli kuilea familia ya lulu na jina la lulu. Hope bidada akitoka gerezan atajituliza kama shukran kwa jamaa anavyomtunzia jina
Hawa Viumbe hawatabiriki,usije shangaa akitoka jela anakamatwa na MARLEYDOLLARS wa Msumbiji.
 
Kweli unampendaga maana huishi kumsifia

Si umuoe?
 
Ila huyu mtoto ni matatizo aliyoyapata sababu mama yake hakumlea vizuri.Uyo bi mkubwa alikuwa mlevi mbwa kwa kifupi alikata tamaa na kipindi cha nyuma alikuwa anaenda bar (mara nyingi high bar Tabata) na mwanae ili apate ofa za bia, yy ndio aliye mzoesha kwenda sehem kama hizo .Matokeo yake mtoto akawa sio muoga pamoja na umri wake mdogo alikuwa mtu wa club ,bar na kudate na watu wazima,ila tukio la Kanumba limempiga kofi mpaka naona aliaanza kurudi ktk mstari.Sasa ukiwa ona hao wanaume aliokuwa anatembea nao mama Lulu wengi sasa hivyi ni walevyi mbwa wa gongo kwa kifupi wamekata tamaa (acha niishie hapa ila lawama zote ni kwa huyo MAMA).Kama wazazi tujifunze kuwalea watoto wetu ktk maadili, hata wakati wa mambo magumu na tusikate tamaa ,tutawapoteza na kuwaharibu watoto wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…