Lulu: Diamond hana hadhi ya kuwa na mimi

Lulu: Diamond hana hadhi ya kuwa na mimi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Msanii wa filamu bongo,na mwenye jina kubwa kuliko umri wake,Elizabeth Michael aka LULU, ameonesha msimamo mkali baada ya msanii wa bongo fleva mwenye jina la madini expensive Naseeb Mohamed au DIAMOND kufanya kila aina ya mbinu ikiwemo ile ya kutaka kumuagizia msanii huyo gari expensive aina ya nissan murrano yenye thamani ya shiling million zaidi ya 60,ambapo hata hivyo mbinu yake iyo imeonekana kugonga mwamba baaada ya Lulu kukataa kata kata kutoka na staa huyo anayetamba na ngoma ya my number one.

Kwa kumaanisha kuwa hataki kutoka na staa huyo, Lulu alilazimika kubadilisha namba ya simu yake ya mkononi ili kuepuka usumbufu kutoka kwa bwana mdogo huyo ambaye kila kukicha amekuwa akiwindwa na wasichana warembo ili tu waonje sukari yake.

Pia inasemekana lengo la diamond kutaka kutoka na Lulu ni kutaka kukuza jina lake(kiki) kwa kuwa anaamini staa huyo ana jina kubwa na lenye mvuto hivyo kumfanya na yeye aogelee kwenye dimbwi la umaarufu na kuongelewa zaidi na watu,na kuwa ishu iyo ndo itakuwa habari ya mujini yaan yeye kutoka na lulu.

Baadhi ya watu wameonyesha kushangzwa sana na msimamo mkali wa binti huyo,kwa kuwa waliamini hakuna staa yeyote bongo mwenye ubavu wa kupindua kwa diamond,kama ilivyokuwa kwa Wema,Jokate,Aunt,Wolper na baadhi ya mastaa ambao dogo huyo aliwamega kiulaini.

Watu wanahaha kumjua mwanaume anayempa jeuri Lulu hadi kufikia hatua ya kuchomoa kwa diamond..
 
wakishauana ndio watasema ukweli!! kwa hawa wanaojiita superstars tarajia kusikia lolote
 
  • Thanks
Reactions: aub
Aah aaah aya bwana deo, ila inasemekana jamaa alipokuwa china na wema ndipo alipoanza kutafuta contact za lulu kwa hali na mali, baada ya kuzipata jamaa ndo akaanza swaga zake sasa za kusaundisha ooh mara vile hadi jamaa akahaid kununua nissan murano kama akikubali litakuwa lake milele, inasemekan baadh ya watu walimuonya lulu na kumtadhalisha kutoingia kwenye mtego huo kwa madai kuwa diamond hana mapenzi nae ila anataka tu kupata umaarufu na kuzungumzwa sana kwenye vyombo vya habari,kama ilivyokuw kwa wema..
 
Mama muheshimiwa hataki skendo na ndomo
 
Huyo Lulu mwenyewe mnamtilia manani......anachozungumza leo ikifika kesho hata akumbuki aliongea nini, miaka yake tu mwenyewe hajui....

Ni kweli hajui anachokisema wala anachokitenda,kesho utasikia tayari,chezea ndomo wewe
 
Back
Top Bottom