Lulu Diva ni Pisi iliyosimama

Ni mzuri kweli Ila hayupo kwenye channel za hela .

Ile Nyumba ya udongo aliyokuwa anaishi mama yake iliniacha macho juu.
 
Ni mzuri kweli Ila hayupo kwenye channel za hela .

Ile Nyumba ya udongo aliyokuwa anaishi mama yake iliniacha macho juu.
Ila vichenchi anavyo...si ana nyumba mjini hapa...labda alimuhamishia mama ake mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…