MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 1,073
- 1,941
Yes ndo alimpa maisha mjini Lulu alichora mpaka tatoo ya joho mkononi, video zake za kwanza za muziki wake ali shoot south, aliita mpaka waandishi wakaone nyumba aliyopangiwa na magari aliyonunuliwa na mheshimiwa. kumbe ilikuwa nguvu ya Yasss 🏃♀️Joho Hassan?