Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Lulu yuko kwenye msiba mzito leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu yuko kwenye msiba mzito leo
Izo pesa wangekua wanapanga mbagara zinazobakia wanalipua mijumba ya kwao wenyewe ingekuaje
Kuliko kusubir kufukuzwa
Wasanii wa Tanzania kila kitu kwao wao ni Usanii hadi maisha yao ni usaniii
View attachment 230189
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Lulu. TAMBO ZA NANI ZAIDI?
Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za Kibongo ambapo safari hii mastaa wawili, Elizabeth Michael Lulu na Jacqueline Walper Wolper Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.
Uchunguzi wa Ijumaa umebaini kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.
Ilidaiwa kwamba, baada ya Lulu kuripotiwa kupangishiwa bonge la jumba la kifahari na milionea maarufu wa jijini Arusha lililopo maeneo ya Mbezi-Beach jijini Dar, Wolper naye anadaiwa kujibu mapigo kwa kupangishiwa mjengo wa maana na bwanake uliopo maeneo hayohayo.
![]()
]Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Walper. CHUMBA KAMA BOUTIQUE
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu ambavyo ni watu wa karibu wa mastaa hao, kwa sasa wawili hao ni moto wa kuotea mbali kwani kila mmoja amepata bwana mwenye mpunga mrefu.
WOTE WANALIPA SH. MIL. 30
Ilidaiwa kwamba, kama ilivyokuwa kwa Lulu, Wolper naye analipiwa nyumba hiyo kiasi cha dola za Kimarekani 1,500 kwa mwezi (zaidi ya Sh. milioni 2.4) karibia Sh. milioni 30 kwa mwaka.
Habari zilidai kwamba, kama ilivyo ya Lulu, nyumba hiyo aliyopangishiwa Wolper ina vyumba kibao vya kulala, ukumbi wa wageni, sehemu ya kulia chakula, mabafu, majiko n.k
Pia nje ya nyumba hiyo kuna eneo kubwa la bustani iliyopambwa kwa maua mazuri na eneo la kutosha la maegesho ya magari.
Pamoja na kupangishiwa mijengo hiyo ya kifahari ushuani, Lulu na Wolper wamekuwa wakioneshana jeuri ya magari waliyonunuliwa na mabilionea hao.
MAGARI
Uchunguzi unaonesha kuwa Lulu ana mkoko aina ya Toyota Rav4 New Model wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 30.Kwa upande wake Wolper anasukuma ndinga aina ya Toyota Prado, nalo lina thamani ya zaidi ya Sh. milioni 30.
Ujinga kabisa mafanikio yanapimwa kwa nyumba Za kupanga ..Hiyo milioni 30 si unaanza Majengo ......hawa mabint sijui Wachagga wa wapi WANACHEZA na pesa aiseee
Izo pesa wangekua wanapanga mbagara zinazobakia wanalipua mijumba ya kwao wenyewe ingekuaje
Kuliko kusubir kufukuzwa