Lulu Elizabeth, Jackline Wolper waoneshana jeuri ya mabwana!

Lulu Elizabeth, Jackline Wolper waoneshana jeuri ya mabwana!

Lulu yuko kwenye msiba mzito leo

Kawachambaje Uko ..et tulikuwepo kumpanua miguu kuwa alilala na komba?.. nimeona maiti ya kombaa khaaaa ni shidaa sio sura hadi nikatamani kucheka mungu anisamehe safar yetu sote mbele yake nyuma yet.

Vp huendi kwenye msiba nikupitie? Maana nampango Wa kwenda sina Wa kupiga nae umbea...
 
Ina maana hawaridhiki na wanachokipata??

mmmh ila Shigongo nae huwa mbeyaaaa!!! Loh!!
 
Were is my money. ..were is my honey ......watoto hawapendi safari .....huwezi fika bila msoto mkali. ..Joe-Makini ft Niki huu wimbo una maana kubwa sana ukiuelewa.
 
View attachment 230189

Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. TAMBO ZA NANI ZAIDI?


Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za Kibongo ambapo safari hii mastaa wawili, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.


Uchunguzi wa Ijumaa umebaini kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.


Ilidaiwa kwamba, baada ya Lulu kuripotiwa kupangishiwa bonge la jumba la kifahari na milionea maarufu wa jijini Arusha lililopo maeneo ya Mbezi-Beach jijini Dar, Wolper naye anadaiwa kujibu mapigo kwa kupangishiwa mjengo wa maana na bwana’ke uliopo maeneo hayohayo.

attachment.php


]Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Walper. CHUMBA KAMA BOUTIQUE


Kwa mujibu wa vyanzo vyetu ambavyo ni watu wa karibu wa mastaa hao, kwa sasa wawili hao ni moto wa kuotea mbali kwani kila mmoja amepata bwana mwenye ‘mpunga’ mrefu.


WOTE WANALIPA SH. MIL. 30


Ilidaiwa kwamba, kama ilivyokuwa kwa Lulu, Wolper naye analipiwa nyumba hiyo kiasi cha dola za Kimarekani 1,500 kwa mwezi (zaidi ya Sh. milioni 2.4) karibia Sh. milioni 30 kwa mwaka.


Habari zilidai kwamba, kama ilivyo ya Lulu, nyumba hiyo aliyopangishiwa Wolper ina vyumba kibao vya kulala, ukumbi wa wageni, sehemu ya kulia chakula, mabafu, majiko n.k


Pia nje ya nyumba hiyo kuna eneo kubwa la bustani iliyopambwa kwa maua mazuri na eneo la kutosha la maegesho ya magari.



Pamoja na kupangishiwa mijengo hiyo ya kifahari ushuani, Lulu na Wolper wamekuwa wakioneshana jeuri ya magari waliyonunuliwa na mabilionea hao.


MAGARI
Uchunguzi unaonesha kuwa Lulu ana mkoko aina ya Toyota Rav4 New Model wenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 30.Kwa upande wake Wolper anasukuma ndinga aina ya Toyota Prado, nalo lina thamani ya zaidi ya Sh. milioni 30.

Wataona tu kitakachowatokea uzeeni,acha wapete kwa sasa,Shetani analubuni watu kwa kasi ya fast jet.
 
Hawa wadada wanawadhalilisha wanawake wenzao kwa kweli......na sidhani kama wanatumia kichwa kufikiri labda wanatumia papuchi zao kufikiri......
 
Prado na rav 4 na nyumba ya 2 ml. watu wamefungua thread!¡!"
 
Ujinga kabisa mafanikio yanapimwa kwa nyumba Za kupanga ..Hiyo milioni 30 si unaanza Majengo ......hawa mabint sijui Wachagga wa wapi WANACHEZA na pesa aiseee

Izo pesa wangekua wanapanga mbagara zinazobakia wanalipua mijumba ya kwao wenyewe ingekuaje
Kuliko kusubir kufukuzwa

Mimi ndio maana huwa nawakubali sana wasanii wa uganda hawana mbwembwe wao huwa wanashindana kwenye vitega uchumi huku wanashindania magari na nyumba za kupanga hovyo kabisa.
 
Nawaonea huruma sn,cjui papuchi zao zina hali gani kwa kubadili kila aina ya size,kweli wanatumia uchumi waliopewa na Mungu ipasavyo kabisaaaaa
 
Back
Top Bottom