Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake

Wanaume bana
...

Mtu ana mke lakini anakitembeza

Ona sada aibu alomtia mkewe
Kuna wanaume wengine huwa wanatamani kuwa na aina ya wanawake flani japokuwa anakuwa amevuta jiko ndani lakini moyoni nafsi anatamani awe level flani bahati mbaya faranga zinakuwa zimempiga chenga sasa anapozikamata huwa anatelekeza marafiki zake wa awali na kujiunga na wengine na mara nyingi hawa watu tunawaita celebrity na kazi yake moja ni kuwabanjua tu kufidia gap la nyuma na ndio maana unashangaa mtu mpaka mmekuwa watu wazima hakuwa na interest na music au mpira lakini from nowhere mnaambiwa mdau wa netball, soka, bongo movie au bongo flavour (bora hata mwenye 30 yrs utasema lolote laweza kutokea aka change lakini unakuta mtu ana 45 yrs wakati miaka yote 35 alikuwa yupo yupo ile kuzifumania tu ela unamwona na yeye yupo na watu maarufu (waliopitia zile za kutoka usiku kwa kuchangachanga na kwenda kujichanganya kwenye kumbi wengi wao hujitambua hata kama ela zitaongezeka na hata kama atakuwa anachepuka lakini si kwa style hii mpaka watu wanagombana wakati mke halali yupo)
 
Elimu tosha kwa Lulu na wenye tabia kama za Lulu
 

Attachments

  • 1429376128317.jpg
    85.4 KB · Views: 1,069
Reactions: amu
haya wakati wengine wakilia kwa mikosi na nuksi..kylin azidi kutudhihirishia kuwa ile ndoa yake si magumashi...anatupia mapicha huko insta akiwa uchagani wanakula mindafu tu na mbege
 
haya wakati wengine wakilia kwa mikosi na nuksi..kylin azidi kutudhihirishia kuwa ile ndoa yake si magumashi...anatupia mapicha huko insta akiwa uchagani wanakula mindafu tu na mbege
We naye ulivyokadhana na Kylin kila thread unaleta habari zake umetumwa!!!? si uanzishe thead yake tuchangie huko.
 
We naye ulivyokadhana na Kylin kila thread unaleta habari zake umetumwa!!!? si uanzishe thead yake tuchangie huko.

Hahahaaa,eti bwana.Atuwekee na mapicha ya ndafu na mbege hizo tuone sio maneno matupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…