Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kuna wanaume wengine huwa wanatamani kuwa na aina ya wanawake flani japokuwa anakuwa amevuta jiko ndani lakini moyoni nafsi anatamani awe level flani bahati mbaya faranga zinakuwa zimempiga chenga sasa anapozikamata huwa anatelekeza marafiki zake wa awali na kujiunga na wengine na mara nyingi hawa watu tunawaita celebrity na kazi yake moja ni kuwabanjua tu kufidia gap la nyuma na ndio maana unashangaa mtu mpaka mmekuwa watu wazima hakuwa na interest na music au mpira lakini from nowhere mnaambiwa mdau wa netball, soka, bongo movie au bongo flavour (bora hata mwenye 30 yrs utasema lolote laweza kutokea aka change lakini unakuta mtu ana 45 yrs wakati miaka yote 35 alikuwa yupo yupo ile kuzifumania tu ela unamwona na yeye yupo na watu maarufu (waliopitia zile za kutoka usiku kwa kuchangachanga na kwenda kujichanganya kwenye kumbi wengi wao hujitambua hata kama ela zitaongezeka na hata kama atakuwa anachepuka lakini si kwa style hii mpaka watu wanagombana wakati mke halali yupo)Wanaume bana
...
Mtu ana mke lakini anakitembeza
Ona sada aibu alomtia mkewe