Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.​

Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza maana wachawi ni wengi.“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila mmoja atamjua,” alisema Lulu.
 
Uzinzi tu mnashabikia huyu ni wa kupigwa mawe mpaka kufa
 
Mbona kawa mbaya hivi ama mimba haimpendi?????
 
Hana Mimba Lulu ilikuwa happy Fools Day.. akavaa Matambala

Habari yenyewe haina source
 
Kafiwa na MTU wake leo anaitwa Seki, mwana Apollo Arusha Huko, ndiye aliyekuwa anampa jeuri mjini hapa
cacico za miaka...
Mhhh tumpeleke TB joshua jamani kalulu
 
Last edited by a moderator:
cacico za miaka...
Mhhh tumpeleke TB joshua jamani kalulu
poa amu mdogo wangu, wanadai they were together when the guy passed away leo jioni. Khaaaaa namhurumia
 
Last edited by a moderator:
poa amu mdogo wangu, wanadai they were together when the guy passed away leo jioni. Khaaaaa namhurumia

Maskini kamefunga account ista namuonea huruma sana maana kidonda kimetoneshwa.
Namuomba Mungu awe sawa pia na yeye aombe sana na kusali maana...
 
Last edited by a moderator:
Lulu ana gundu kwakweli. .mwingine kaanguka

Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini
 
Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini

Maneener nina majonzi ila mmbea wewe umenchekesha.
Hiki kifo ndo tujifunze wasichana,waume za watu si dili ona anavyosikitikiwa instagram utafikiri mjamaa alikuwa single tena wanasema eti mchumbake haaaa..sipati picha mke wake ana maumivu kiasi gani...
 
Back
Top Bottom