Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Yule Mtoto anahitaji maombi, atakuwa na majini labda
yaani duh nimeshtuka hatariii
huyu seki mmmhhhhh
nyamaze mie mtoto wa watu
lulu mama mbona ana gunduu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Mtoto anahitaji maombi, atakuwa na majini labda
Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini

Binamu inamaana huu umbea ulikupita mbali nini ni bahati mbaya tu hakuna uhusiano n gundu l lulu
Uzinzi tu mnashabikia huyu ni wa kupigwa mawe mpaka kufa
Anaitwa LUSEKELO MWANDENGA, alikuwa anamuokoa Mtoto wake ndio yeye kuangukia kioo na kufa hapo hapo! Rip, soooo sad for loulou!
Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini
yap ana WATOTO na mke, Sema walitengana na mkewe sababu ya luluKwan alikua kaoa?
ana kimavi huyu...!!tukatae tukubali,
si ndo huyu seki,eti binamu?
ajali kila siku zimkute yy?
ana gunduuu