Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 71
Nakumbuka lulu amemzawadia mama yake Nyumba siku ya birthday ya mama yake majuzi ataenda ishi na mamaye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le Mutuz ni namba ingine kabisa. Jana anapiga selfie eti ..."on my way to Motuary to see my bro Seky".... yaani on your way to motuary na bado selfie ya nguvu na smile!!!
Umeona eti kaweka picha yupo kwenye msiba analia kaficha USO Sijui alimwambia Mtu ampige picha ...watu kwa kupenda sifa.
Le Mutuz ni namba ingine kabisa. Jana anapiga selfie eti ..."on my way to Motuary to see my bro Seky".... yaani on your way to motuary na bado selfie ya nguvu na smile!!!
Yes, anaishi tegeta wazo
Hehebebe haya wanaume muwe makini na ugonjwa wa GLU gonga lulu ufe
Hehebebe haya wanaume muwe makini na ugonjwa wa GLU gonga lulu ufe
Dunia ina maajabu sana aiseee, yaani mtu unamuacha mkeo kisa Lulu!!
Hehebebe haya wanaume muwe makini na ugonjwa wa GLU gonga lulu ufe
Khaaaa..........!!!!
Mzee mwenzangu...kwema
Huyu mzee Le mutuz nyie hamumjui ni kuwadii mbaya saana..usikute ndo alimkuwadia Al Marhum seki kwa haka ka lulu.. si kuna wakati aliwahi kukasifia sana kwenye blogu yake , wale wabebeez wengi wao ni anakuwadia kwa mapedejee...mtu mzima hovyooo...hana hata chembe ya aibu..Huyo mzee instead aseme anaenda kumwona mwanae anasema bro wakati seki atakua kwenye 32 au 34yrz