Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Wabaya wake leo sherehe manina, ila lulu alibadilika, ata kwenye birthday yake mwaka jana kulikuwa na ndugu zake tu, hakuna sta wala marafik zake wa ajabu waliohudhuria, kwa marafiki alijifunza kitu sema umalaya tu ndo alishindwa kuacha

aache umalaya atakula wapi?
 
Uigizaji? Kuendekeza ngono mtoto mdogo ndo maana yanamkuta makubwa, mama yake naye tumchambe, anajua fika mwanae anatoka na mume wa mtu, ye anafuraia tu pesa, mama lulu sio mlezi mzuri, atamuua mtoto wake nakwambia kwa kuendeza tamaa

yule sio mama .yule ni muuza mtoto
mwanamke gani anauza mwanawe ndo anamfanya kitega uchumi
akomeeee
 
Pole mjane na watoto nyie ndio wenye maumivu hasa Mungu awatie nguvu,r.i .p seki.
 
yule sio mama .yule ni muuza mtoto
mwanamke gani anauza mwanawe ndo anamfanya kitega uchumi
akomeeee

Yeye ndie anayembebesha majukumu lulu wakat yeye bado ana nguvu, mda mwingine tusimlaumu lulu, mama ake ni chanzo, ye anajua mwanae hafanyi kaz, hajiuliz nyumba ya kifahar kapata wap? Ye anaona raha tu kukaa kwenye nyumba za wanaume wa watu? Mama mbaya sana yule
 
Hela atakua alichukua jana leo ilikua jioni ndio full kujipiga maselfie n pati y 3m chezea hela nini

Dah, siku mbaya sana leo kwa lulu, ndo ajifunze, maana ni aibu, fedheha na kashfa kubwa sana kaipata, mtoto mdogo kuparamia waume za watu, huyo mama ake nae wa kumchamba tu anamuuza mwanae
 
Yeye ndie anayembebesha majukumu lulu wakat yeye bado ana nguvu, mda mwingine tusimlaumu lulu, mama ake ni chanzo, ye anajua mwanae hafanyi kaz, hajiuliz nyumba ya kifahar kapata wap? Ye anaona raha tu kukaa kwenye nyumba za wanaume wa watu? Mama mbaya sana yule

Yani yule mama sijui wa aina gani aisee.hajiskii vibaya labda dah
mtihani haswaa
 
watu bwana mabwana ambao sio waume zao wala wachumba wanao ila kwakuwa wkwao ni masikin haina shida mwenzie akiwa na tajir ni umalaya.
acha movie iendeleee
 
Dah, siku mbaya sana leo kwa lulu, ndo ajifunze, maana ni aibu, fedheha na kashfa kubwa sana kaipata, mtoto mdogo kuparamia waume za watu, huyo mama ake nae wa kumchamba tu anamuuza mwanae

Binamu ndio maisha watoto w kike wanaishi kwa kutegemea wanaume hii mitandao n kutaka kuishi artificial life ndio inawacost.then unakuta kwao full shida anataka anunua nguo n mapochi kila wiki cjui anakunywa savanna n heineken wakti kwao alikua anakunywa togwa ***** zao acha tuwapakue tu mpka mbuye ziote sugu
 
Ni sheeda, naona ka delete account yake ya instagram, dah anaishi maisha magumu sana kipindi hiki, alitaka maisha makubwa, acha yampate makubwa
sononi za mke hizooooo
wanaacha kutulia wanapenda waume za watu
mxiuuuu
 
Alipofariki yule rubi wa chichiemu niliwafafanulia kule kwetu ukiona bnt wanaume wanakwisha ujue anakitu ambacho kinaota juu yashimo la kujisaidia kinyama kidogo a.k.a Kimenengu,hiki kinautaratibu wa kukatwa kwa utaratibu wa kimila,kuna dawa ya kienyeji unafanyanyiwa alafu unakatwa unaondoa mikosi yote,sasa wale walio karibu na Lulu wakiona ujumbe huu anitafute kupitia jf gharsma yake ndogo akzarau wanaume watakwisha,

Ha ha ha lulu safari hii wapiga ramli chonganishi watamlia hela zake sana.
Na alikuwa na party leo ya kuzaliwa kwake hana ham kabisa mpaka amejitoa IG
 
Le mutuz kafukua picha mahali halafu anajifanya rafiki yake huyu mzee ni shida angekua maskini angesema hamjui

Le mutuz ni shiiida kasema eti amempigia sim leo hasubuhi walikuwa wakutane. Le mutuz ni TP
 
Back
Top Bottom