Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini

Binamu inamaana huu umbea ulikupita mbali nini ni bahati mbaya tu hakuna uhusiano n gundu l lulu
 
Haina haja ya kumsema vibaya yeyote inaweza kumtokea, bora alivyofunga account insta mana juzi kwa kanumba walimsema itakuwaje leo?
 
Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini

binamuuuu
huyu mtoto ana mapepo yakutupiwa na hv waume za watu mbona mbona...!!!!
 
Anaitwa LUSEKELO MWANDENGA, alikuwa anamuokoa Mtoto wake ndio yeye kuangukia kioo na kufa hapo hapo! Rip, soooo sad for loulou!
 
Asiwe tu amekufa akiwa nae maana ile ingine haijaisha
 
Binamu inamaana huu umbea ulikupita mbali nini ni bahati mbaya tu hakuna uhusiano n gundu l lulu

ana kimavi huyu...!!tukatae tukubali,
si ndo huyu seki,eti binamu?
ajali kila siku zimkute yy?
ana gunduuu
 
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!
 
Jamaani nina tetesi sijui umbea
Zilisikika tetesi lulu michael yule muigizaji huwa anaendaga kwa mganga kuroga,sasa akapewa masharti ya kumtoa mama ake kafara,akashindwa so akaambiwa kama huwezi mama ako,basi mtoe mwanaume yeyote ambae nyota ake inafanana na mama ako ambayo ni Aquarius,thats why Kanumba was Aquarius,and so the new guy he is dating now
Ni mme wa mtu anaitwa Seki,sasa the wife ni mcha mungu,anaomba sana..she travelled akaenda kwa tb joshua,tb joshua akamwambia sali sana mama,kuna msichana yupo ivi ivi na ivi(features za lulu michael)
Akaambiwa uyo msichana ana mganga wake ambae wameingia kwenye maagano ya kutoa watu kafara ambao wana nyota ya aquarius so omba sana mama maana maisha ya mume wako yapo hatarani
Mwanaume kaja kuambiwa,haelewii maana nasikia anampenda hotlulu haelewii..
Hapa ninavyosikia the guy amefariki tena kama kifo cha kanumba cha kudondoka na kupiga kichwa chini..
Na leo ni birthday ya lulu..
 
poa amu mdogo wangu, wanadai they were together when the guy passed away leo jioni. Khaaaaa namhurumia

Nimesikia the samw.Na the guy alikua ni mme wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Aiseeh ana mabalaa makubwa kweli, sijui uko alipo yupoje, mbaya zaidi mume wa mtu, vifo vinamuumbua sana, lulu ni msiri sana ila vifo vinaumbua siri zake, dah kodi ikiisha sijui ataenda wapi maskini

Jamani, inabidi tuomboleze.
 
Wakuu hapa nilitegemea mtasikitika na kumuonea huruma huyo mwanamke mwenye mume, sasa nashangaa mnatoa pole kwa hawala.
 
ana kimavi huyu...!!tukatae tukubali,
si ndo huyu seki,eti binamu?
ajali kila siku zimkute yy?
ana gunduuu

Nop cyo gundu seki amefariki mchana kwake mbezi beach alikua amekalia meza y kioo ghafla ikavunjika,so kioo kikamchoma kwenye paja mshipa ukakatika n tumboni so kapelekwa hosp bt bliding ilikua kubwa ndio akafariki do sad r.i.p mutu wa watu sekioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…