Asiwe tu amekufa akiwa nae maana ile ingine haijaisha
Johnson Lukaza anahusika na hiki kidada
Nipo njian naelekea mbezi ivoo, maana nimechanganyikiwa apa ata sielewi utadhan marehemu ni kaka angu
,ndo huyu
Mbona nasikia kapata ajali? Na picha yake ninayo apa inatisha sana
Huku msibaninkuna mipapa tu.Unaweza ukaja msibani masikini ukaondoka tajiri.
Hajawahi mwacha mkewe hata cku moja na mali zake zote mkewe ndio alikua msimamizi thou ni muajiriwa w serikali.pia kuhusu 4bn ni kias kidogo sana mana alikua n assets more than hiyo hela kuanzia dar n dodoma.wanadamu tuna maneno sana sekioni alikua anamuheshimu mkewe sana n alikua anafanya umalaya kisiri.
Mwezi w 2 tulikua nae dom n mkewe amejenga hotel kubwa sana jirani n saint gasper ilikua ndio imefika ghorofa y 3.mkewe ni msomi so kila ki2 alikua anafuatilia kuanzia ma apartments dar na hostel dodoma anazo 4
Malaya mbwa kabisa, badala kufanya kazi linaharibu ndoa za watu, anataka makubwa ndio maana yanampata makubwa
Long live warumi unaniau mbavu
Maskini lulu anaambulia maumivu tu arithi ata kijiko manina, raha zote zimemuisha
Ilikuwa more than 4 billion, ila alikuwa mshamba wa pesa, akiwa sehemu anataka aonekane yeye ndiyo yeye, machangu wa high class wamzunguke pande zote, maskini hadi sura yake inanijia, dharau za kutosha.kumkejeli mjane wa rafiki yake aliyemuonyesha milango ya Afgem. Loo rest in peace Seki. Msalimie rafiki kipenzi aliyekutoa na baadae ukamdharau Salum.Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!
Hiyo itakua ni picha nyingine aiseeeee ile ajali kichwa kama kimecharangwaa
pole mke wa marehemuToo sad pole sana LULU
Huku msibaninkuna mipapa tu.Unaweza ukaja msibani masikini ukaondoka tajiri.
Jamaa alikua anaishi mbezi beach istoshe kaacha nyumba z kutosha n account z maana kwa familia yake.mkewe n msomi anafanya wizara ya habari nae alikua geologist mkuu w tanzaniteone .hiyo picha ya ajali umetumiwa ni ajali ya nini gari au
kuna hotel inajengwa pale pembeni kumbe ndo ya mshkaji?Hajawahi mwacha mkewe hata cku moja na mali zake zote mkewe ndio alikua msimamizi thou ni muajiriwa w serikali.pia kuhusu 4bn ni kias kidogo sana mana alikua n assets more than hiyo hela kuanzia dar n dodoma.wanadamu tuna maneno sana sekioni alikua anamuheshimu mkewe sana n alikua anafanya umalaya kisiri.
Mwezi w 2 tulikua nae dom n mkewe amejenga hotel kubwa sana jirani n saint gasper ilikua ndio imefika ghorofa y 3.mkewe ni msomi so kila ki2 alikua anafuatilia kuanzia ma apartments dar na hostel dodoma anazo 4
Le mutuz kafukua picha mahali halafu anajifanya rafiki yake huyu mzee ni shida angekua maskini angesema hamjui
Nipo njian naelekea mbezi ivoo, maana nimechanganyikiwa apa ata sielewi utadhan marehemu ni kaka angu
Ilikuwa more than 4 billion, ila alikuwa mshamba wa pesa, akiwa sehemu anataka aonekane yeye ndiyo yeye, machangu wa high class wamzunguke pande zote, maskini hadi sura yake inanijia, dharau za kutosha.kumkejeli mjane wa rafiki yake aliyemuonyesha milango ya Afgem. Loo rest in peace Seki. Msalimie rafiki kipenzi aliyekutoa na baadae ukamdharau Salum.