Wabaya wake leo sherehe manina, ila lulu alibadilika, ata kwenye birthday yake mwaka jana kulikuwa na ndugu zake tu, hakuna sta wala marafik zake wa ajabu waliohudhuria, kwa marafiki alijifunza kitu sema umalaya tu ndo alishindwa kuacha
yes yes karibu na kituo cha magereza pale
juzi nilikua kule nimeona duh
hapo namuongekea mke
aache umalaya atakula wapi?
Alikua anajenga hotel ya maana dodoma ingekua n ukumbi na garden y nusu eka ndio hvyo wife atamalizia mana bank yuko poa
shenzyyyyy
wabaya wake leo fuu bata
bethdei binamu ipo lakini?
Uigizaji? Kuendekeza ngono mtoto mdogo ndo maana yanamkuta makubwa, mama yake naye tumchambe, anajua fika mwanae anatoka na mume wa mtu, ye anafuraia tu pesa, mama lulu sio mlezi mzuri, atamuua mtoto wake nakwambia kwa kuendeza tamaa
Aaah wapi!
La muhim kama alichukua zawad yake mapema kwa tgo pesa.
Aaah wapi!
La muhim kama alichukua zawad yake mapema kwa tgo pesa.
yule sio mama .yule ni muuza mtoto
mwanamke gani anauza mwanawe ndo anamfanya kitega uchumi
akomeeee
Hela atakua alichukua jana leo ilikua jioni ndio full kujipiga maselfie n pati y 3m chezea hela nini
Yeye ndie anayembebesha majukumu lulu wakat yeye bado ana nguvu, mda mwingine tusimlaumu lulu, mama ake ni chanzo, ye anajua mwanae hafanyi kaz, hajiuliz nyumba ya kifahar kapata wap? Ye anaona raha tu kukaa kwenye nyumba za wanaume wa watu? Mama mbaya sana yule
Dah, siku mbaya sana leo kwa lulu, ndo ajifunze, maana ni aibu, fedheha na kashfa kubwa sana kaipata, mtoto mdogo kuparamia waume za watu, huyo mama ake nae wa kumchamba tu anamuuza mwanae
sononi za mke hizoooooNi sheeda, naona ka delete account yake ya instagram, dah anaishi maisha magumu sana kipindi hiki, alitaka maisha makubwa, acha yampate makubwa
Alipofariki yule rubi wa chichiemu niliwafafanulia kule kwetu ukiona bnt wanaume wanakwisha ujue anakitu ambacho kinaota juu yashimo la kujisaidia kinyama kidogo a.k.a Kimenengu,hiki kinautaratibu wa kukatwa kwa utaratibu wa kimila,kuna dawa ya kienyeji unafanyanyiwa alafu unakatwa unaondoa mikosi yote,sasa wale walio karibu na Lulu wakiona ujumbe huu anitafute kupitia jf gharsma yake ndogo akzarau wanaume watakwisha,
Hela atakua alichukua jana leo ilikua jioni ndio full kujipiga maselfie n pati y 3m chezea hela nini
Le mutuz kafukua picha mahali halafu anajifanya rafiki yake huyu mzee ni shida angekua maskini angesema hamjui