Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

Ninahisi huko mahabusu alikuwa salama zaidi kuliko atakavyokuwa uraiani...
Just thinking....
 
Anajidai analia huku kaharage hapo chini kanamtekenya kanamhitaji Mbako
 
Lulu hakuua ni udhaifu wa hayati manumba kutojua mbinu za upelelezi.
 
Ni vema kutumia kichwa kufikiri kuliko kukitumia kufugia nywele.. Quoted.. Fred Werema
 
Nadhani ni vigumu kusema anachukuliaje dhamana ya 'mkwewe' sanasana inamkumbusha uchungu wa kuondokewa na mwana. Vinginevyo mchakato wa kesi hii tangu utata wa umri hadi kwa DPP,vyombo vya habari vilikuwa vikiripoti. Kwa hiyo mama Steven kulichukulia inategemea na vitu kama hivyo.
 
kwenye ukweli uongo hujitenga tusubiri dakika tisini ya lulu itafika tu.
 
Eti alionekana viwanja vya mkuu wa kaya ndo wakagombana na kanumba kuwa alifuata nini kule. Kalikurupukia kuliwa wacha mapredeshee wazidi kagonga.
 
Ukute alikuwa na matatizo ya moyo au high cholesterol .bahati mbaya
 
Mimi naona wagambo gambo wa magereza wanauza sura tu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…