warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee lulu michael au hotlulu michael ameonyesha kubadilika kitabia miezi michache toka atoke jela.siku hiz lulu humkuti kwenye club ovyo au sehem zozote za stareh kama ilivyokuwa apo awali,hat aina ya marafiki aliyokuwa nao apo awali ambao ndio waliokuwa wanamtia uchizi sasa iv hayupo nao tena,kwa kweli Inaleta faraj sana,lulu siku izi amekuwa mtoto mzuri,kila jumapil anaend kanisani,kweli kila kitu kinatokea kwa sababu,naona mdogo wetu amebadilika kabisa,hata ukimuangalia uson unaona kuna nuru tofaut na apo awali,hongera dogo,endelea hivyo hvyo japokuwa hakuna binadamu aliyekamilika