Lulu kweli kabadilika..

Lulu kweli kabadilika..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee lulu michael au hotlulu michael ameonyesha kubadilika kitabia miezi michache toka atoke jela.siku hiz lulu humkuti kwenye club ovyo au sehem zozote za stareh kama ilivyokuwa apo awali,hat aina ya marafiki aliyokuwa nao apo awali ambao ndio waliokuwa wanamtia uchizi sasa iv hayupo nao tena,kwa kweli Inaleta faraj sana,lulu siku izi amekuwa mtoto mzuri,kila jumapil anaend kanisani,kweli kila kitu kinatokea kwa sababu,naona mdogo wetu amebadilika kabisa,hata ukimuangalia uson unaona kuna nuru tofaut na apo awali,hongera dogo,endelea hivyo hvyo japokuwa hakuna binadamu aliyekamilika
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1369982120475.jpg
    uploadfromtaptalk1369982120475.jpg
    34.9 KB · Views: 1,146
Heri yake, sasa atulizane apate mume!🙂

Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee lulu michael au hotlulu michael ameonyesha kubadilika kitabia miezi michache toka atoke jela.siku hiz lulu humkuti kwenye club ovyo au sehem zozote za stareh kama ilivyokuwa apo awali,hat aina ya marafiki aliyokuwa nao apo awali ambao ndio waliokuwa wanamtia uchizi sasa iv hayupo nao tena,kwa kweli Inaleta faraj sana,lulu siku izi amekuwa mtoto mzuri,kila jumapil anaend kanisani,kweli kila kitu kinatokea kwa sababu,naona mdogo wetu amebadilika kabisa,hata ukimuangalia uson unaona kuna nuru tofaut na apo awali,hongera dogo,endelea hivyo hvyo japokuwa hakuna binadamu aliyekamilika
 
kishakuw used ndo maana oil seal zote kwisha kazi
 
Hiyo ni sekrepa. Kimeshafikia permanent deformation.
 
mwambie anitafute mie nafuta mke wa kuoa ambaye alikuwa hajatulia halafu then kapoa najua tutatengeneza ndoa nzuri sana!
 
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee lulu michael au hotlulu michael ameonyesha kubadilika kitabia miezi michache toka atoke jela.siku hiz lulu humkuti kwenye club ovyo au sehem zozote za stareh kama ilivyokuwa apo awali,hat aina ya marafiki aliyokuwa nao apo awali ambao ndio waliokuwa wanamtia uchizi sasa iv hayupo nao tena,kwa kweli Inaleta faraj sana,lulu siku izi amekuwa mtoto mzuri,kila jumapil anaend kanisani,kweli kila kitu kinatokea kwa sababu,naona mdogo wetu amebadilika kabisa,hata ukimuangalia uson unaona kuna nuru tofaut na apo awali,hongera dogo,endelea hivyo hvyo japokuwa hakuna binadamu aliyekamilika

Hizi picha ndio za sasa akiwa kanisani?
 
walizoea kutanua na hela za kanumba,
mwimba nyimbo za ccm atahonga wangapi,
mtoto wa baba mwenye nyumba naye ni kwa kuvizia

lazima alale tu ndani chezea bongo wewe eeeh.
 
Back
Top Bottom