Tetesi: Lulu Michael arudi shule

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
IFM ya wapi? Hii hii ya kARIBU NA POSTA/IKULU?
 




waiter zungushaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺
 
Yule walisema anamroga mwanaume nae ana kiwango gani cha elimu dunia?!
 
Sema anataka kuanza maana bado wapo kwenye selection,
Kila la kheri lulu namkubali sana.
 
Pale magogoni huwa wanasomeshwa nje cup za vibosile wakimaliza wanaingizwa kwenye ajira rasmi!
 
Tajiri anapata elimu, masikini ndio anaesoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…