Tetesi: Lulu Michael arudi shule

Tetesi: Lulu Michael arudi shule

unafikiri kisa lecture unaweza mtia mtoto wa tajiri au mke wa tajiri.. kisa unamfundisha?

unaweza kumtia tu moyo wake ukupende aamue kukupa... ila sio kwa ushawishi wowote?

shigongo anasoma tumaini university mwaka wa kwanza.. chuo anakuja na range rover.. walimu wanapaki vi spacio.. yeye kajiajiri na walimu wameajiriwa.. wanajichekesha tu darasani kila dakika blaza shigongo hebu fafanua hii kwa uhalisia ili wanafunzi wenzako waelewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
IFM ya wapi? Hii hii ya kARIBU NA POSTA/IKULU?
 
unafikiri kisa lecture unaweza mtia mtoto wa tajiri au mke wa tajiri.. kisa unamfundisha?

unaweza kumtia tu moyo wake ukupende aamue kukupa... ila sio kwa ushawishi wowote?

shigongo anasoma tumaini university mwaka wa kwanza.. chuo anakuja na range rover.. walimu wanapaki vi spacio.. yeye kajiajiri na walimu wameajiriwa.. wanajichekesha tu darasani kila dakika blaza shigongo hebu fafanua hii kwa uhalisia ili wanafunzi wenzako waelewe

waiter zungushaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺
 
Yule walisema anamroga mwanaume nae ana kiwango gani cha elimu dunia?!
 
Sema anataka kuanza maana bado wapo kwenye selection,
Kila la kheri lulu namkubali sana.
 
Pale magogoni huwa wanasomeshwa nje cup za vibosile wakimaliza wanaingizwa kwenye ajira rasmi!
 
unafikiri kisa lecture unaweza mtia mtoto wa tajiri au mke wa tajiri.. kisa unamfundisha?

unaweza kumtia tu moyo wake ukupende aamue kukupa... ila sio kwa ushawishi wowote?

shigongo anasoma tumaini university mwaka wa kwanza.. chuo anakuja na range rover.. walimu wanapaki vi spacio.. yeye kajiajiri na walimu wameajiriwa.. wanajichekesha tu darasani kila dakika blaza shigongo hebu fafanua hii kwa uhalisia ili wanafunzi wenzako waelewe
Tajiri anapata elimu, masikini ndio anaesoma
 
Back
Top Bottom