Tetesi: Lulu Michael arudi shule

Tetesi: Lulu Michael arudi shule

Ngoja ni apply hapo Hiko chuo.nimechoka kumuona insta tu kila siku
 
Akapige kitabu, tena apige sana , education itamsaidia hata akiwa amefifia kwenye game anaweza piga kazi zingine.
Tunaambiwa , baada ya muigizaji lulu Michael aka lulu , kumaliza diploma aliyokua anasomea, sasa hvi amejiunga kwenye chuo cha IFM akichukua degree . Safi sana lulu , beauty with brain , Mungu akutangulie
 
Wachezaji wetu wakilivuta wanakuwa na vibes km lote.... Hv demu akivuta anakuwaje? Hui Uzi Almas unamuhusu!
Akivuta makelele kama yote
Na unaweza tunukiwa mtandao pendwa
 
Kumbe ww unajua kuna wengine kubisha tu

Hvi mpaka Leo watu bado hawamuani warumi? Umbea wangu umethibitishwa na Makonda , na Mimi siku hzi naitwa WARUMI AKA , JAMII FORUM SWEETHEART 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom