Lulu Michael Dazzles in This New Look

Hana kazi za kufanya zaidi ya kupiga picha???? maana ukiingia 8020 fashion walionoga kila week yupo na hiyo shule magogoni sijui anasoma saa ngapi
kwa zuri ni mzuri sana, ila mh!
 
What happened to the manslaughter charge?
 
Hana kazi za kufanya zaidi ya kupiga picha???? maana ukiingia 8020 fashion walionoga kila week yupo na hiyo shule magogoni sijui anasoma saa ngapi
kwa zuri ni mzuri sana, ila mh!

Ni kafupi hatari...short chasis
 
Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza kwamba "I'm a big fun, can I take a picture with u? Duh! Dada akaitikia thank you ok... ok... Huku anatimka ha haaaa hovyoooo
 

Aa Ni Sawa Kumbe Ajulia Wapi Kingeleza, Anamiaka Mitano Anawaza Kuigiza.
 
muonekano huu namuona nao siku zote tangu amemuua kanumba labda mmseme nguo mpya.
 
Umri wake unamruhusu mwacheni apige mapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…