Lulu Michael Dazzles in This New Look

Lulu Michael Dazzles in This New Look

Hiyo new look nilidhani labda kajibadilisha au kanyoa nywele hivi
 
Dogo ana milonjo mibaya...sikuwahi kuiona kabla
 
Lulu ni mzuri sana lakini naogopa kumtokea
 
Wenye bahati ndo hao, anaua na bado anaishi uraiani na umseme utakiona cha mtema kuni, wale wanaosonya wameishia kupigwa miaka ya kuwatosha magerezani.
 
Naitwa Kakiamba...what are my chances of being alive this time next year if I start dipping her next month??
 
Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza kwamba "I'm a big fun, can I take a picture with u? Duh! Dada akaitikia thank you ok... ok... Huku anatimka ha haaaa hovyoooo

Weka picha zao mkuu,..
 
Back
Top Bottom