Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
​hahaaa!!mecheka kama mazurii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What happened to the manslaughter charge?
Duh mtoto huyo ngoa nisake hela tuu
Aa Ni Sawa Kumbe Ajulia Wapi Kingeleza, Anamiaka Mitano Anawaza Kuigiza.
Hiyo new look nilidhani labda kajibadilisha au kanyoa nywele hivi
Kazuri ila ndio kana nyota ya ujane
Navyomwogopa coz jina langu linaishia na mba
new look ni ipi?
Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza kwamba "I'm a big fun, can I take a picture with u? Duh! Dada akaitikia thank you ok... ok... Huku anatimka ha haaaa hovyoooo
Naitwa Kakiamba...what are my chances of being alive this time next year if I start dipping her next month??
Chance yako ni 0.000000001245 kwa mujibu wa takwimu.