The Beautiful Bongo Movies Actress Diana Elizabeth Michael dazzled in this new Look...
Beautiful isn't she? Lulu Michael Dazzles in This New Look | UDAKU SPECIAL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjane Mara 2 !!!
Kwa hiyo mtu akigusa tu atamwacha Mjane Mara ya 3?
Hana kazi za kufanya zaidi ya kupiga picha???? maana ukiingia 8020 fashion walionoga kila week yupo na hiyo shule magogoni sijui anasoma saa ngapi
kwa zuri ni mzuri sana, ila mh!
Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza kwamba "I'm a big fun, can I take a picture with u? Duh! Dada akaitikia thank you ok... ok... Huku anatimka ha haaaa hovyoooo
The Beautiful Bongo Movies Actress Diana Elizabeth Michael dazzled in this new Look...
Beautiful isn't she? Lulu Michael Dazzles in This New Look | UDAKU SPECIAL