Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Ni kafupi hatari...short chasis
OOH Bagosha..simtaki tena huyo kicheche..akawaue hao..mimi Mama Nemo bado ananihitaji
Tena anakusubiri umsainishe mali zako zote ndo akumalize.
Principle,Uki mdate huyo manzi lazima ukubali kutangulia mbele za haki kabla yake.be crfly.demu ana ki-mavi balaa
Duh mtoto huyo ngoa nisake hela tuu
Na gym kanaenda...na ndio siri ya uzuri wake...si kina mwafulani
Ni kafupi hatari...short chasis
Kumbe anaenda gym..basi sawa.. Mana nilikuwa najiuliza nguvu za kubeba watu na vitambi vyao anazitoa wapi
Kazuri ila ndio kana nyota ya ujane
hahahaaa kananyanyua kilo za kutosha ako..kwenye mpnz bwana sijui nguvu nyingine uwa zinatoka wapiNilikuwa sijafikiria hilo aisee....hahaha kumbe kanajiweka fiti kubeba mizigo mizito mizito...ha ha ha
Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza kwamba "I'm a big fun, can I take a picture with u? Duh! Dada akaitikia thank you ok... ok... Huku anatimka ha haaaa hovyoooo
Hivi huyu mtoto uzuri wake upo wapi jamani maana anavyosifiwa,kama kuna mtu kamuona live aseme hapa uzuri wake...
maana nimewaona wasanii maarufu wawili sikuamini tofauti kabisa..haya macamera yao yanawasaidia sana.