Lulu Michael Dazzles in This New Look

Lulu Michael Dazzles in This New Look

Mze wa msituni na kanumba wamegharamika afu nyie mnasifia kirahisi rahc
 
Principle,Uki mdate huyo manzi lazima ukubali kutangulia mbele za haki kabla yake.be crfly
 
Principle,Uki mdate huyo manzi lazima ukubali kutangulia mbele za haki kabla yake.be crfly.demu ana ki-mavi balaa
 
Duuuh inabidi ufunge antkifo mwilini inakua kma antvirus unajilia tu taratibu bila uoga w kifo
 
Kumbe anaenda gym..basi sawa.. Mana nilikuwa najiuliza nguvu za kubeba watu na vitambi vyao anazitoa wapi

Nilikuwa sijafikiria hilo aisee....hahaha kumbe kanajiweka fiti kubeba mizigo mizito mizito...ha ha ha
 
Nilikuwa sijafikiria hilo aisee....hahaha kumbe kanajiweka fiti kubeba mizigo mizito mizito...ha ha ha
hahahaaa kananyanyua kilo za kutosha ako..kwenye mpnz bwana sijui nguvu nyingine uwa zinatoka wapi
 
Mastaa wa TZ bwana...huyu binti hajui maana ya kuwa 'staa' siku moja tumekutana nae duka la nguo, sasa mwanangu(wa kike) huwa anampenda sana huyu binti, akamfuata akamwambia anaomba wapige picha, khe! Cha kushangaza akakataa, nilimdharau sana, sijui hakuelewa maana alimwambia kwa kiingereza kwamba "I'm a big fun, can I take a picture with u? Duh! Dada akaitikia thank you ok... ok... Huku anatimka ha haaaa hovyoooo

hahaah...acha tuamini hakumsikia vizuri kama tutakavyoamini umemaanisha fan
 
Hivi huyu mtoto uzuri wake upo wapi jamani maana anavyosifiwa,kama kuna mtu kamuona live aseme hapa uzuri wake...
maana nimewaona wasanii maarufu wawili sikuamini tofauti kabisa..haya macamera yao yanawasaidia sana.
 
Lulu ni msichana wa kawaida sana. Sura ya kawaida shape ipo miguuni, anamiguu mizuri na rangi yakuvutia basi na uzuri wa ndani labda ambao hauonekani,
vingine vyote ni mambo ya make up na studio
 
Back
Top Bottom