Lulu ni msichana wa kawaida sana. Sura ya kawaida shape ipo miguuni, anamiguu mizuri na rangi yakuvutia basi na uzuri wa ndani labda ambao hauonekani,
vingine vyote ni mambo ya make up na studio
Hivi haka kasichana kazi na muda wote 24/7 ni kupigaga mapicha tuuuuu na kuyaweka mitandaoni? Naulizaga tu wajameni.
Lulu ni msichana wa kawaida sana. Sura ya kawaida shape ipo miguuni, anamiguu mizuri na rangi yakuvutia basi na uzuri wa ndani labda ambao hauonekani,
vingine vyote ni mambo ya make up na studio
Kwa hapo sasa nimekuelewa ...nafikiria na media pia nayo inachangia kumfanya aonekane mrembo Sana
Hiyo miguu mizuri na rangi ya kuvutia wengine ndio ugonjwa wao ujuwe....inaweza tosha kumuita mzuri...
Navyomwogopa coz jina langu linaishia na mba