Lulu Michael Dazzles in This New Look

Lulu Michael Dazzles in This New Look

Lulu ni msichana wa kawaida sana. Sura ya kawaida shape ipo miguuni, anamiguu mizuri na rangi yakuvutia basi na uzuri wa ndani labda ambao hauonekani,
vingine vyote ni mambo ya make up na studio

Kwa hapo sasa nimekuelewa ...nafikiria na media pia nayo inachangia kumfanya aonekane mrembo Sana
 
Some people here are so judgemental
Like they never sin or do any mistake at all
 
Lulu ni msichana wa kawaida sana. Sura ya kawaida shape ipo miguuni, anamiguu mizuri na rangi yakuvutia basi na uzuri wa ndani labda ambao hauonekani,
vingine vyote ni mambo ya make up na studio

Hiyo miguu mizuri na rangi ya kuvutia wengine ndio ugonjwa wao ujuwe....inaweza tosha kumuita mzuri...
 
Hiyo miguu mizuri na rangi ya kuvutia wengine ndio ugonjwa wao ujuwe....inaweza tosha kumuita mzuri...

Sikatai! wapo wenye sura mbaya shapeless weusi tii lakini mtu akapenda kucha tu akamuona mzuri sana.
Nimeongelea uzuri wa picha za lulu na lulu halisi
 
Back
Top Bottom