Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Dear xiexie sijapewa but nimeshapata pedeshejee la ukwee Mu-sir kanipatia Audi so I don't need it anymore.

Welcome to the world of me and my babe..
hahahahah haya wewe jitanaze tu hapa, watakupokonywa kama wewe ulivyotaka kuwapokonya wenzio clement, hahaa haya kula bata mama ila akiishiwa utafate pa kujibanza kama Mama Ubaya anavyojibanza kwa Mtoto wa Tandale
 
Mmmh lulu huyu huyu???
kweli shetani akizeeka anakuwa malaika....
 
Huyu lulu kaishiwa maana wanaume wote wa mjini washa mlala na washamdharau na soko lake limeshuka saaaana.......so Atuache wenziwe
 
Back
Top Bottom